Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

Kisa kimojawapo kilichofanya nione wasukuma hawana mpinzani kwenye hii sector.....
2018 nikiwa nafanya biashara ya matikiti ,nikaenda huko nzega vijiji vya ndani ndani sana..Sasa tukaenda shambani na mkulima kukagua mali na kupigiana hesabu ya mzigo uliopo,,Sasa tumemaliza hesabu nataka tumalizane,,yule Mzee wa kisukuma akasema nikamlipie nyumbani na tupate msosi..basi kufika pale kwake vikaletwa viazi na maziwa mtindi Mzee akasema tupashe tumbo,,kweli tukala pale tukiwa na mwanae wa kiume na yeye,,hapo Mimi kwenye kula Niko njema maana nilikua nanyanyua vyuma...basi nusu saa ukaletwa ugali nikasema Hawa wasukuma hii ngoma itaisha draw...kupiga ule ugali nikaanza kuaga mashindano ingawa ndio ilikua mwishoni..ghafla ugali haujaisha vizuri nikaona mwanamke anakuja huku amepiga magoti na sahani Iko full ugali na kutoa Ile ya kwanza na kuweka mpya ..nikaona Hawa wanataka kuniua..nikasema nimeshiba..yule msukuma na mwanae walicheka eti hiii kijana mbona mapema umekula kidogo...mi nikakaa pembeni..Ile ngoma mtu na mwanae waliimaliza yote na majagi ya maji wakanywa🥋🥋🥋🦾🙌🙌🙌🙌...
NB: Hawa shambani kwao walikua wamechimba kisima kirefu wawili,,ambacho wazaramu kumi hata iwe mwaka hawamalizi..hivo kula ni kwa sababu wanapiga kazi sana na kazi ngumu
 
Ninachokupendea hujawahi kukataa asili yenu..!!
Kwahiyo hiyo midude ya rangi inaingia tumboni? 😹😹😹

Mkinga mwenzangu kazoea bumunda na ndosa, huo ugali atauweza kweli kuupika na kula?? 🤣😹
Kuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima 😂😂😂

Kuupika ugali wa Kisukuma ni mtihani. Eti upike ugali wa njemba 10 zimetoka kulima huko siku nzima? Aaaa wapi! Mkinga mbona utakumbuka kurudi Kariakoo mapema tu?

Alikuja shemeji wa Kinyaki mpaka akawa analia yaani nikawa naingia jikoni kumsaidia; au nambembelezea kwa mawifi zake ili wamsaidie. Akaja kuletwa binti mmoja Mzaramo na mpwa wangu mmoja hivi ohooo! Huyu aliondoka bila kuaga. Kuja kumbananisha akaniambia anko hapo kwenu naweza kufanya kila kazi isipokuwa tu kupika ugali wa wanaume...

Vu bin vu ni mwenyewe nikapeleka pisi ya Kichaga kipindi fulani hivi (Mama E usicheke!). Yenyewe ikawa smart ilipoambiwa kupika ugali ikamuita chemba wifi yake mmoja ikamkatia 50K na mkataba ukafungwa kuwa haitakaa ipike ugali hasa wa wanaume. Rushwaaaaaaa!

Mpwa wangu Aaliyyah sijui amejiandaaje masikini na mtanange huu wa kupika ugali wa kuliwa na wanaume wa Kisukuma maana ugali ukiwa mlaini hata kiduchu tu hawali. Ni lazima uwe mgumu kama jiwe, uive vizuri na uwe wa motooooooooo!

➡️➡️➡️ Akanaye asili yake huyo ni mtumwa 📌📌📌
 
Kuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima 😂😂😂

Kuupika ugali wa Kisukuma ni mtihani. Eti upike ugali wa njema 10 zimetoka kulima huko siku nzima? Aaaa wapi! Mkinga mbona utakumbuka kurudi Kariakoo mapema tu?

Alikuja shemeji wa Kinyaki mpaka akawa analia yaani nikawa naingia jikoni kumsaidia; au nambembelezea kwa mawifi zake ili wamsaidie. Akaja kuletwa binti mmoja mwalimu wa Kizaramo na mpwa wangu mmoja hivi ohooo! Huyu aliondoka bila kuaga. Kuja kumbananisha akaniambia anko hapo kwenu naweza kufanya kila kazi isipokuwa tu kupika ugali wa wanaume...

Hapa jirani yangu kuna house girl katoroka kisa kupikishwa ugali wa njemba 4 z kisukuma
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Wasukuma wako na minguvu usiwalinganishe wanaume wa Dar🤨
 
Nako kutokula siyo sifa, watu wanatumia energy kubwa katika katika shughuli zao za kiuchumi lazima wale chakula cha kutosha. Nature ya kazi zao Hauwezi ukawlfananisha na wale wanasubiri wazungu wawainyeshe picture za wanyama au njia za kwenda milimani au wanaosubiri uwape mchongo wakuibie au wakudhurumu
Hahahaa!

Ila Wasukuma bana…..kuna aina flani ya ustaarabu iliyowapiga chenga!

Hapa Bariadi mjini kuna eneo linaitwa Kidinda.

Kila Jumanne huwa kuna mnada wa mifugo.

Sambamba na mnada huo huwa wanachinja na kuchoma nyama [sana sana mbuzi na kondoo].

Unaweza kununua sahani yako ya nyama choma na ukakaa hapo hapo na kula.

Kama ni mgeni, ni vyema mtu usiende peke yako.

Kuna watu huwa wanaenda hapo mnadani kwa lengo la kula tu.

Na siyo kula kwa kununua wao hizo nyama choma.

Ni kula kwa kudoea.

Ile ukitengewa tu sahani yako, utaona hao wanakuja na kuanza kusimama karibu na ulipoketi.

Sasa hapo wenzio wanakusoma tu waone kama watajisogeza ili wale na wewe.

Mwishowe utaona mmoja anajisogeza kabisa na kukusalimia kama ndugu yako na kuanza kula bila hata ya kumkaribisha 🤣.

Kama huwajui jinsi walivyo, unaweza ukapaniki sana. Ila wenzako ndo wako hivyo na hawaoni ubaya wowote ule kuanza kula chakula chako bila hata kukaribishwa au kunawa mikono.

IMG_5193.jpeg
 
View attachment 3376748
Napafahamu hapa
 
Kuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Mkuu mapoti wengi wanakula sana sasa ukichanganya na usukuma hapo lazima chakula kitapata tabu sana..
 
Kuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima 😂😂😂

Kuupika ugali wa Kisukuma ni mtihani. Eti upike ugali wa njema 10 zimetoka kulima huko siku nzima? Aaaa wapi! Mkinga mbona utakumbuka kurudi Kariakoo mapema tu?

Alikuja shemeji wa Kinyaki mpaka akawa analia yaani nikawa naingia jikoni kumsaidia; au nambembelezea kwa mawifi zake ili wamsaidie. Akaja kuletwa binti mmoja mwalimu wa Kizaramo na mpwa wangu mmoja hivi ohooo! Huyu aliondoka bila kuaga. Kuja kumbananisha akaniambia anko hapo kwenu naweza kufanya kila kazi isipokuwa tu kupika ugali wa wanaume...

Vu bin vu ni mwenyewe nikapeleka pisi ya Kichaga kipindi fulani hivi (Mama E usicheke!). Yenyewe ikawa smart ilipoambiwa kupika ugali ikamuita chemba wifi yake mmoja ikamkatia 50K na mkataba ukafungwa kuwa haitakaa ipike ugali hasa wa wanaume. Rushwaaaaaaa!

Mpwa wangu Aaliyyah sijui amejiandaaje masikini na mtanange huu wa kupika ugali wa kuliwa na wanaume wa Kisukuma maana ugali ukiwa mlaini hata kiduchu tu hawali. Ni lazima uwe mgumu kama jiwe, uive vizuri na uwe wa motooooooooo!

➡️➡️➡️ Akanaye asili yake huyo ni mtumwa 📌📌📌
Nahene lolo..😃😃😃
Yani hayo inabidi ajaribu aje asimulie kidogo humu jukwaani the out come
..
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Nimekuja hapa kuwatafuta Wasukuma na kweli ninewakuta namba moja 😂😂😂

Pyee shilewa, mandege, manyama, manumbuuu...
 
Wachaga, wanyamwezi umewaacha mbona.

WApo kwenye top 5 ya idadi ya watu wengi na chakula pia watakuwa wanakula kwa wingi.
 
Back
Top Bottom