Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

#1. Chindo a.k.a Umbwa

#2. Fid q

#3. Sugu

#4. Solo Thang

#5. Songa

Wasanii mabingwa wa kuunga unga

#1. Stamina

#2. Joh Makini

#3. Roma

#4. Niki wa 2
 
Hizo list panga mpangavyo lakin nimuone chemical humo ndo tutaelewana.
 
Hii apa
Chindo man
Nash emc
kimbunga mchawi
P mc
Nikk mbishi zoan...a.k.a babu bomba..a.k.a dynamites...a.ka sharktopas..
 
#1. Chindo a.k.a Umbwa

#2. Fid q

#3. Sugu

#4. Solo Thang

#5. Songa

Wasanii mabingwa wa kuunga unga

#1. Stamina

#2. Joh Makini

#3. Roma

#4. Niki wa 2

Kubwa lao hapo ni Stamina,
Mara George karudi Bush-Jamaa anaunga unga sana labda ndio style yake na anaona watu wanamwelema vyema.
 
Mi naona mc bora ni yule anaefanya mziki unaopendwa na unamlipa
 
Hakuna kama Roho 7
"Sawa wanapata pesa, vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya Kansa"-Nakupenda hip hop.

Roho 7 Jamaa alikuwa vyema sana aisee,Heshima kwako popote alipo.
 
"Sawa wanapata pesa, vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya Kansa"-Nakupenda hip hop.

Roho 7 Jamaa alikuwa vyema sana aisee,Heshima kwako popote alipo.
Jamaa asingeingia jeshini angekuwa Noma sana, yani level za akina kendrick lamar wa bongo
 
WEWE HAMNA KITU UNAJUA.
 
Uko sawa mkuu. Vizuri sana!
 
Jamaa asingeingia jeshini angekuwa Noma sana, yani level za akina kendrick lamar wa bongo
Hakika jamaa alikuwa anatisha,
Hivi taarifa hizi za kuwa yupo Jeshini ni za kweli maana huwa nazikia sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…