Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Hawa ndio wasanii WA Hip hop hapa bongo angalau walijaribu kuzungumza vitu kadhaa vyakuikosoa serikali na kuwaamsha raia na mienendo Yao! !

1=Mr 2 (Sugu)
2=Kala Pina
3=Afande sele
4=Solo Thang
5=Father nelly/Roma mkatoliki

6= Prof jay
7= Chindo Man/JCB
8= Jay moe
9= Joe makini
10=Chid benz

Kuna huyu mwamba anaeitwa Hashim Dogo huyu ndie alitarajiwa kua msanii bora WA hip hop hapa Bongo kama angeamua kujikita kwenye Mziki.
 
Young killer anamzidi joh ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sugu ni mwizi wa nyimbo za wasanii alafu ana den bank la hotel yake amekaribia kufilisiwa
 
"Anayefanya hajui chochote, anayejua hawezi fanya.,Ambaye amechoka kufikiria huamini anajua sana"

..Ukweli siku zote unapigwa pingu,uongo uzidi enea..
 
Achana na vitoto vya juzi vipaka poda hivyo...Yaan vinaongea ili tuu vitoe harufu mdomoni.
 
hiyo list yako kwa upande mmoja au mwingine haipo sawa.
ukisema waimba hip hop hiwezi muacha.

Niki mbish
Songa
na ONE incredible

Darasa na young killer wanaimba Hip hop lain sio ngumu kama wanazo imba wakuna Fid Q
 
Oya wazee acheni masihara yan hata mtu mzima Afande Sele hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…