Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?

Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.

Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.

Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.

Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
 
Hapa tatizo ni Chadema hawataki kukaa labaratory kutafuta chanjo ya corona

CCM ni wazalendo wameruhusu kushikana mikono na kusali pamoja hata kama mtu ana corona

Chadema sio wazalendo, CCM chapeni kazi corona ukivaa nembo ya CCM ni dawa na tiba

Ukiwa ccm hupati corona
Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.
 
Watumishi wa serikali ipi,? Ikiwa total lockdown itaifanya hata serikali kushindwa kulipa mishahara yao ,maana hakutakuwa na uzalishaji,think big
Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo unatakiwa ukae chni ufikirie tena kama hela ina umuhmu kuliko uhai wa watu. Acha sirikali ikomae kukusanya bil kesho watu waanze kudondoka kama kuku ndo utajua hata hzo trillion za hela hata italy wanazo lakini wanalia na kusaga meno. mpaka sasa watu 12 italy pia alianza mmoja.

Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.
 
Leo nimecheck kwenye worldometer hali ni mbaya visa vinaongezeka kwenye bara la africa..sisi huku havipo mambo baadaye yasije yakawa mabaya mmmh!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16][emoji16]Yaani mimi hata siku ya sikukuu nikikaa nyumbani naona kama napoteza vile.
Hyo ni siku moja tu.je uniambie nikae wiki?
Kikubwa tuendelee kujilinda..
Watu wanaopaswa kukàa lockdown ni watumishi wa serikali wote na siyo kufata mkumbo...sisi wengine watuache Tupmbane mpaka mwisho msilete siasa / hivi mnaijua njaa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.

Sio kweli wanaopiga kelele ya kukaa nyumbani si Watumishi wa Serikali bali ni watoto wa shule na wale wanaokula na kula bila kujua vinatafutwaje
 
Watumishi wa serikali wana uhakika kwamba hata wakibaki nyumbani mishara inaingia kwenye akaunti zao. Na hii ni dalili ya ubinafsi, wanatakiwa kutambua kwamba viongozi wanapofanya maamuzi wanaangalia mfumo wa maisha ya watanzania. Asilimia kubwa ya sisi watanzania kipato chetu ni cha kubahatisha.

Mfano fundi selemara anaweza kuwa ametengeneza stuli ili mtu akinunua ndo apeleke matumizi nyumbani.
Hata maamuzi ya juzi wengine hawawezi kujua yameathiri wengine kwa kiasi gani. Mfano nafundisha tuition au chekechea na pesa napatia hapo.

Ghafla unaambiwa zimefungwa. Mwenye mshahara ambao unaingia hata kama hujafanya kazi huwezi jua machungu wanayoonja wengine. Please tuombe tu hiyo korona itoweke, tusipende kutoa hoja zisizojali maisha ya wengine.
 
Watumishi wa serikali wana uhakika kwamba hata wakibaki nyumbani mishara inaingia kwenye akaunti zao. Na hii ni dalili ya ubinafsi, wanatakiwa kutambua kwamba viongozi wanapofanya maamuzi wanaangalia mfumo wa maisha ya watanzania. Asilimia kubwa ya sisi watanzania kipato chetu ni cha kubahatisha.

Mfano fundi selemara anaweza kuwa ametengeneza stuli ili mtu akinunua ndo apeleke matumizi nyumbani. Hata maamuzi ya juzi wengine hawawezi kujua yameathiri wengine kwa kiasi gani. Mfano nafundisha tuition au chekechea na pesa napatia hapo. Ghafla unaambiwa zimefungwa.

Mwenye mshahara ambao unaingia hata kama hujafanya kazi huwezi jua machungu wanayoonja wengine. Please tuombe tu hiyo korona itoweke, tusipende kutoa hoja zisizojali maisha ya wengine.
 
Back
Top Bottom