Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.
Hivi unafikiri tukikaa lock down serikali hii itaweza kulipa mishahara?
 
Boss TumainiEl Hakuna anayeilaumu Jamhuri aka Serikali, Kikubwa Jamhuri na Serikali inatakiwa ionyeshe inajali Wananchi na watu wake kuliko kujali Uchumi, Maana Uchumi unajengwa na Wananchi. Sasa kama Jamhuri na Serikali ikionyesha inajali sana Uchumi kuliko watu wake hapo kuna maswali.

Angalia Italy, walidharau kuchukua hatua mwanzoni, cheki wanavyokufa kama Kuku, washawapita mpaka China ka vifo, Cha muhimu hapa ni kwa Jamhuri na Serikali kuchukua hatua mapema na za haraka kunusuru Watu na Wananchi wake.

Na suala la Lockdown haimaanishi una lockdown kila kitu, hata nchi za dunia ya kwanza hawawezi, vitu kama Phamrcy na Maduka ya bidhaa yanakuwaga wazi, kumbuka si wote wenye uwezo wa kuwa na mahitaji yote ndani kwa mwezi au ahata week 2, wengi wanaishi kwa pay check to pay check.

Pia kuhusu hili janga la Dunia la Corona, Kuna upotoshaji mkubwa sana na mno.

TumainiEl,
 
Hivi kweli kuna watu wanaona pesa zina thamani kuliko maisha yao na afya zao?

Haya mambo yanapatikana Tanzania tu.
 
TumainiEl,
Umeandika nini?Hizo kazi unazosema tukafanye ni pamoja na za waalimu,wanaouza bidhaa kwenye masoko,wafanyakazi viwandani,daladala na zipi zingine?

Kuna mkanganyiko mkubwa na uchumi kuanguka ni obvious.
 
Clemence Mwandambo,
Una uhakika kwamba watumishi wa serikali wanataka hivyo?punguza negativity utapiga hatua.
Unadhani watumishi wa serikali wanategemea mshahara pekee?

Kwamba hawana miradi inayohitaji mzunguko wá watu? Hawana ndugu na jamaa wasiofanya kazi serikalini?

Kitumie kichwa kufikiri na siyo kufugia tu nywele mkuu!!
 
TumainiEl,
Jambo la kukaa nyumbani wanaweza kufurahia wafanyakazi wa Serikali tuu ambao wanajua mishahara ipo tuu. Sekta binafsi kama hakuna uzalishaji ni vigumu sana hata mfanyakazi mwenyewe kuwa na nguvu na ari ya kudai mshahara.

Tuendelee kumwomba Mungu ili juhudi zinazoendelea dunia kote kupambana na huu ugonjwa zifanikiwe. Tanzania tayari tumeathirika kutokana na hatua zinazochukuliwa na Mataifa mengine mfano kusitishwa kwa usafiri wa anga umesimamisha dunia kabisa; na hali hii ikiendelea Nchi zote duniani zitaathirika kwa sababu tunategemeana.
 
Una uhakika kwamba watumishi wa serikali wanataka hivyo?punguza negativity utapiga hatua.
Unadhani watumishi wa serikali wanategemea mshahara pekee?
Kwamba hawana miradi inayohitaji mzunguko wá watu?
Hawana ndugu na jamaa wasiofanya kazi serikalini?
Kitumie kichwa kufikiri na siyo kufugia tu nywele mkuu!!
Nice
 
Wewe unalala na kula kwa shemeji yako so huwezi kuelewa haya mambo ni makubwa sana kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejifungia kijijini kwenu. Hujawahi kushuhudia majanga ya pandemic yanavokuwa. Ndio maana unaongea utumbo.

Siku utakapozika ndugu zako wote uje ucomment hapa tena huo upumbavu wako... Idiot.
 
Wafrica ni kwa nn? Tunapenda sana kutishana
hii corona ni sawa na wale jamaa waliokwenda kunya katika safina la nabii nuhuu

Baada ya kupata maradhi ya ukurutu wakagundua yale mavi katika safina ni dawa ya ukurutu
Wakaenda kwa wingi kwenda kuchota yale maji

Na wengine wakageuka mbaka mabausa katika yale mavi hapa mbaka hapa ni mavi yangu
Wamekunya wenyewe wamezoa wenyewe acheni Mungu aitwe mungu

Corona wababe wa dunia wametengeneza corona virus wanakufa wazungu na wale washirika wao

Sisi wafrica tulioumbwa kwa udongo mweusi wa mfinyanzi matirio yetu ni OG
Hakuna mwafrica atakae kufa na corona akiwa Africa sababu ni hali ya hewa yetu, misosi tunayokula, ukarimu wetu pamoja na shida zetu zote tulizonazo bado atujafikia hatua ya kumkufuru Mungu kama wenzetu

huko Ulaya na Asia
Tumeambiwa hapa Tanzania wagonjwa wa corona waliokuja na huo ugonjwa wa corona kutokea uko kwa wazungu hivi sasa Wanapiga push up,

Leo tumesikia nchini Kenya wagonjwa wa corona waliokuja na huo ugonjwa kutokea uko kwa wazungu baada ya kumaliza 14 karantini wapo fiti wamerudi kitaaa
Nani kafa na corona Africa , hizi taharuki za corona Africa zinatokea wapi?
Au ni nani anafaidika na kuleta hizi taharuki africa

Wazungu wacha wafe kwanza wameonea sana wafrica na Waarabu
Wanapiga mabomu wenzao watu wanakufa kwa wingi wao Wanacheka leo ni zamu yao
Mungu analipa hapa hapa duniani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaolilia Tukae Lockdown niwatumishi wa serikali wanaoishi kwa mshahara sasa/ Itakuaje kwa wavuja jasho kukaa Lockdown bila kazi? People should think twice.
Siku corona ikichachamaa Utaona umihimu wa lockdown...sasa mnaongea kama waganga wa kienyeji.
 
Pamoja na kufunga mipaka uganda leo m7 anatangaza cases 8 mpya za corona mchana huu. Sisi toka 6 mpaka 12 na bado tunajisifia ujinga. Hatujafikia total lockdown tujaribu kufunga tu mipaka yetu huku tukiendelea kuchukua tahadhari. Mbona zanzibar wameamua vipi wamekurupuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM hawawezi pata corona Tanzania

CHADEMA sio wazalendo wameleta corona

Ukihamia CCM huwezi pata corona, Nawashauri CCM msinawe mikono Endeleeni kuchapa kazi wanaccm
Sehemu uliyotakiwa kuwepo ni kati ya sehemu mbili tu;
Kaburini
mirembe
 
Back
Top Bottom