Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

KWELI AISEE.
WATU WENGI TUNAISHI KWA KUFANYA KAZI KWA SIKU MOJA NA KUMALIZANA SIKU HIYOHIYO.

NIMEONA UINGEREZA MTAA MMOJA, WATU WOTE WANAOTEMBEA BARABARANI NA WALIOJAA KWENYE USAFIRI WA UMA NI WAFANYAKAZI WA SIKU. HII IMEKUWA CHANGAMOTO KWAO PIA.

TUSIIGE KILA KYU, UTAUANA WADAU
 
Jana waziri wa afya kasema.
Hamna wagonjwa wapya.
Na waliopo wanaendelea vizuri.
Na yule mgonjwa wa kwanza isabela amepona KABISAAAAAAAA..
Ni habari njema.
Japo kuna watu wanachukua.
Sijui wanataka tufeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
HUYO MTOTO WA MBOWE NI MGONJWA WA ZAMANI? HUYO WAZIRI ALIMRIPOTI LINI
 
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?

Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.

Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.

Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.

Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
[/QUOTE
Idiot,uchumi unaweza ku bounce back , roho za Watu waliokufa zita bounce back ?
 
Back
Top Bottom