Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,578
Na hiyo lockdown down ndo tutakufa almost sote tena tutakufa kifo cha mateso, usifanye mchozo na njaa wewe, njaa inaua kuliko hiyo Corona ykoLock down au tusubiri kuzika mamia au maelfu ya raia kila siku ndio tujifunze.
Jana kuna muitaliano kajitupa kutoka floor ya 10 grorofani. Baada ya kuzika ndugu zake wote. Kaona maisha hayana maana tena...
Sent using Jamii Forums mobile app