Unasema uchumi hali mbaya?? Siku zote mnasema tuko vizuri leo ume admit TumainE??Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.
Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.
Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
Bila pesa utaishije mkuu,Hivi kweli kuna watu wanaona pesa zina thamani kuliko maisha yao na afya zao?
Haya mambo yanapatikana Tanzania tu.
Ni kwa sababu wenzetu wanajua kuchapa kazi.Cha ajabu hali ikiwa nzuri,nchi zilizofunga mipaka yake,utasikia uchumi wao umepaa zaidi kuliko wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako ni personal na ni mazuri tu. Uelewa wako pia najua upo vizuri tu na umelenga kuwasaidia wanaopotosha au kupotoshwa. Pamoja na yote, na pamoja na kwamba hakuna anayetamani lock down zaidi ya hapa tulipo, ikibidi na kama tatizo likisambaa tujiandae kisaikolojia tu. Itakapofika kitu kinasambaa kama ilivyo Italia tutajua ni bora tubanane na kidogo tulicho nacho, au tutumia kila tulicho nacho kutibu. Sio mtaalam sana wa majanga lakini kwa kinachoendelea duniani, kwangu mimi jitihada zaidi zinatakiwa na zaidi kwenye usafiri wa uma, mikusanyiko sokoni etc. Wa TZ nao tuachane na mambo ya kiswahili kujazana magengeni kila jioni tuanze utaratibu wa kununua ata vitu vya siku mbili sio kila siku upo gengeni. Unaishi kwako alaf kila siku unanunua nusu kilo ya unga utadhani kama ukichukua kilo tatu basi nyingine itaenda sijui wapi, kwa hali ilivyo tunahitaji hatua zaidi kujikinga kitu kisisambae, huu sio muda wa business as usual. Ni maoni yanguTujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.
Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.
Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
Hii issue ni zaidi ya saikolojia msipende kurahisisha mambo. Fikiri kwamba nje kuna simba na ndani hakuna chakula utafanyaje na watoto wako.Mawazo yako ni personal na ni mazuri tu. Uelewa wako pia najua upo vizuri tu na umelenga kuwasaidia wanaopotosha au kupotoshwa. Pamoja na yote, na pamoja na kwamba hakuna anayetamani lock down zaidi ya hapa tulipo, ikibidi na kama tatizo likisambaa tujiandae kisaikolojia tu. Itakapofika kitu kinasambaa kama ilivyo Italia tutajua ni bora tubanane na kidogo tulicho nacho, au tutumia kila tulicho nacho kutibu. Sio mtaalam sana wa majanga lakini kwa kinachoendelea duniani, kwangu mimi jitihada zaidi zinatakiwa na zaidi kwenye usafiri wa uma, mikusanyiko sokoni etc. Wa TZ nao tuachane na mambo ya kiswahili kujazana magengeni kila jioni tuanze utaratibu wa kununua ata vitu vya siku mbili sio kila siku upo gengeni. Unaishi kwako alaf kila siku unanunua nusu kilo ya unga utadhani kama ukichukua kilo tatu basi nyingine itaenda sijui wapi, kwa hali ilivyo tunahitaji hatua zaidi kujikinga kitu kisisambae, huu sio muda wa business as usual. Ni maoni yangu
Ni kweli mimi nathink lowly.
Hivi kwa nini watu tunajifanya hatuna akili wala hatuoni au kusikia ... ??? anyways hongera Mu7 kwa hatua ulizochokua Uganda, japo umechelewa kidogo lakini hili balaa likifanikiwa kupita salama huko kwenu waganda hawatakusahahu kwa hilo.Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.
Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.
Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
Vipi kuhusu Ben Saanane? Damu yake inakuliliaTujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.
Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.
Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu mpaka watu wasiende kazini ni wazo la hatari na la kimaangamizi kwa uchumi wetu. Kama taifa yatupasa kujuwa kuna kila haja kutambuwa ikiwa serikali itazuwia watu kwenda kazini. Basi tutegemee watu wengi kukosa kazi kuanzia sector binafsi mpaka sekta ya serikali.
Sisi sote tunajuwa vile hali ya uchumi ilivyo mbaya kuliko yote USD ina paa kama rockert kutoka 2300- 2324 lazima tuwe na akili nakuipenda serikali.
Wewe kama unaona serikali haikujali andika baruwa kuomba likizo bila malipo nadhani ungeisaidia serikali sana kuliko kulaumu while bado unataka kuwa kwenye ajira na pia unataka ulipwe.
Hapana sio mawili hayo, niMachaguo ni mawili tu
1. Kufa kwa COVID-19
2. kukosa kazi.
Kupanga no kuchagua.
Nimecheka kwa sauti unavyowapenda CCMCCM hawawezi pata corona Tanzania
CHADEMA sio wazalendo wameleta corona
Ukihamia CCM huwezi pata corona, Nawashauri CCM msinawe mikono Endeleeni kuchapa kazi wanaccm
Na hivo unavotaka ww tutakufa wengi kwa njaa kuliko inavoua hiyo korona, muache kufuata mkumbo, wanaofanya hiyo tatal lockdown wanajiweza, sio sisi uende kibaruani ndo upate kulaWewe ndo unatakiwa ukae chni ufikirie tena kama hela ina umuhmu kuliko uhai wa watu. Acha sirikali ikomae kukusanya bil kesho watu waanze kudondoka kama kuku ndo utajua hata hzo trillion za hela hata italy wanazo lakini wanalia na kusaga meno. mpaka sasa watu 12 italy pia alianza mmoja.
Hakuna anaeamini hivo hata mmoja, lkn unamwambiaje mtu akae ndani asiende kutafuta na ndani hana hata elfu 10? Yeye maisha yake atoke akahangaikee akirudi jion ana 15000 ya kula siku 1, mtu kama huyo unamuekaje ndani kwa kuogopa Corona? Huo uhai unaouthaminisha si utapotea kwa njaa? Hivi mnafikiri sawasawa nyinyi? Au mnaongea tuHivi kweli kuna watu wanaona pesa zina thamani kuliko maisha yao na afya zao?
Haya mambo yanapatikana Tanzania tu.
Hakuna anaeamini hivo hata mmoja, lkn unamwambiaje mtu akae ndani asiende kutafuta na ndani hana hata elfu 10? Yeye maisha yake atoke akahangaikee akirudi jion ana 15000 ya kula siku 1, mtu kama huyo unamuekaje ndani kwa kuogopa Corona? Huo uhai unaouthaminisha si utapotea kwa njaa? Hivi mnafikiri sawasawa nyinyi? Au mnaongea tu
Sent using Jamii Forums mobile app