100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Sio kwamba zilitengenezwa kulenga soko la Ulaya na Amerika, kwa maana zimekaa bomba sana..Exactly mkuu zinamuonekano mzuri sana Toyota Celsior sijui kwanini haijatamba sana maana hata kitaa ni za kutafuta sana
View attachment 2441004
😄😄 Utelezi haujawahi kumuacha mtu Salama.Cillah unataka hii nikuchukulie 😒😒
😄😄 Lina umeme mwingi,wese linanusa tu-DalaliYananusa wese tu hayo😬😬
lile 18km/l kama premio tuYananusa wese tu hayo😬😬
Cillah Mtoto mzuri yule, sema ananiona mie kama wakala wa shetani, kasahahu wakandarasi quotation moja tu inampa kila kitu anachotaka mtoto mzuri kama yeye 😅😅😅😅😄😄 Utelezi haujawahi kumuacha mtu Salama.
Umeipunguzia kinafika hadi 40km/l ni mguu wako tu 😅😅lile 18km/l kama premio tu
😀😀 Namsubiri aje kama ataipenda, maana wamama wa JF hawajambo kwa madharau..mchukulie tu aache makasiriko
Mie nalipenda zaidi Century na ile ni V12 unyama sana, na uzalishaji wake zile nahisi ni limited.😄😄 Lina umeme mwingi,wese linanusa tu-Dalali
Aisee, V8 4000cc sio mchezo.Kwenye comfortability ni balaa sana sema inakula wese sio poa CC 4,000 V8. Nilibadili engine nikaweka Beams 2000 CC 2,000 sema ndo nimevuruga kiasi mfumo wake wa umeme. Spea pia ilikuaga inazingua nimekuja kupata nafuu baada ya crown kuwa nyingi ndo zinaingiliana vizuri
Wajapan wenzie sio German machines....Hii sio gari ya kifala hata kidogo kumbuka ni generation ileile kama cresta....hapa hata wale wajerumani huwa wanatulia na wala hawapishani Sana
Nahisi ndio engine pekee hio ya century Toyota walitengeneza ikiwa na V12..Mie nalipenda zaidi Century na ile ni V12 unyama sana, na uzalishaji wake zile nahisi ni limited.
Celsior Ni soko la Japan Hilo,LS 400 ndio kwa soko la US.Sio kwamba zilitengenezwa kulenga soko la Ulaya na Amerika, kwa maana zimekaa bomba sana..
Sema mark x new model iko poa sana kulinganisha na crownHio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,
MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
Hii chuma ipo poa sana, inawezakana sidhani kama wana V12 ingine zaidi ya hii hapaNahisi ndio engine pekee hio ya century Toyota walitengeneza ikiwa na V12..
Gari yangu pendwa hii...japo allion pacha wake ndo ananichanganyalile 18km/l kama premio tu
Na hizo ni mbinu za kulinda soko la ndani lisife, sababu zao ni safety ni pollution, wazungu wana njama sana.Celsior Ni soko la Japan Hilo,LS 400 ndio kwa soko la US.
wamarekani wanatamani sana hizo JDM lkn US wana sheria Yao ya 25 year import rule,inaruhusu ku-import ndinga ikiwa imeshapita miaka 25 tangu zizalishwe.So Gari za kuanzia 1997 kwenda nyuma wanazi-import fresh tu.
Ile Kitu mi mwenyewe naikubali kinyama,be forward Kuna kipindi zilikuaga zinauzwa Bei Chee tu ,CIF $3100 hapo na TRA Kodi kawaida tu.Siku hizi naona ndio wamezipandisha mpk $6000's huko.Mie nalipenda zaidi Century na ile ni V12 unyama sana, na uzalishaji wake zile nahisi ni limited.
unyama mwingi humoHii chuma ipo poa sana, inawezakana sidhani kama wana V12 ingine zaidi ya hii hapaView attachment 2441100
Could be the reason.. kuna siku nimefanya kucheki tu kwenye stock ya beforward kujua bei ya LS 400 inaendaje sikuipata kabisa haipo kwenye stock yao. Ila Toyota Celsior nikazikutaSio kwamba zilitengenezwa kulenga soko la Ulaya na Amerika, kwa maana zimekaa bomba sana..