Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Altezza 3sge manual ni gear 6 ndio maana ina mwendo kuliko 4gr na 3sge auto,ila kwenye 3gr inakaa na gear zake 6 kwenye 2gr ndio asithubutu kusogelea210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.
Kuna gari hapa hapa Dar inakufutia hiyo 260, barabara ya M.city.2GR kiboko yake majesta[emoji28]
Kila mnyonge na mnyonge wake
Hivi kwa barabara zetu bongo unafika 260km/hr?
Sijaona vipande virefu utamaintain hyo speed hata dakika 5 mfululizo[emoji28]
Nkiwa 180 tu naona naelea vipi huko 260[emoji119][emoji119]
Kwenye 2gr nakubali. Kwenye 3gr kama unataka kuona kwa vitendo ikipokea kibako niambie niku_hook up na Mwana ushuhudie kwa macho yako.Altezza 3sge manual ni gear 6 ndio ina mwendo kuliko 4gr na 3sge auto,ila kwenye 3gr inakaa na gear zake 6 kwenye 2gr ndio asithubutu kusogelea
Advantage sio kuwa na gear 6 maana hiyo hiyo 3s yenye gear 6 inaliwa na tezza is300 yenye gear 5. Advantage hapo ni clutch tu.Altezza 3sge manual ni gear 6 ndio ina mwendo kuliko 4gr na 3sge auto,ila kwenye 3gr inakaa na gear zake 6 kwenye 2gr ndio asithubutu kusogelea
Hapa unaongea na mmiliki wa altezza japo mbuche ila si ya kinyonge 😀Kwenye 2gr nakubali. Kwenye 3gr kama unataka kuona kwa vitendo ikipokea kibako niambie niku_hook up na Mwana ushuhudie kwa macho yako.
Mi pia natumia tezza mzee. Qc ulikuwaga unaibuka? Mbona 3gr Jay kazipa sana chai enzi ana DLF😄Hapa unaongea na mmiliki wa altezza japo mbuche ila si ya kinyonge 😀
Is300 ina 1jz lzm iile 3s japo kwangu 3sgte ndio best engine kwenye altezza zoteAdvantage sio kuwa na gear 6 maana hiyo hiyo 3s yenye gear 6 inaliwa na tezza is300 yenye gear 5. Advantage hapo ni clutch tu.
Jay mzee wa kupimp 😀Mi pia natumia tezza mzee. Qc ulikuwaga unaibuka? Mbona 3gr Jay kazipa sana chai enzi ana DLF😄
Ina 2jz ila ge sio gte. Is300 ikiwa auto na yenyewe inachezea kwa rs200 mzee.Is300 ina 1jz lzm iile 3s japo kwangu 3sgte ndio best engine kwenye altezza zote
3s yangu inakufa taratibu,nairekebisha iweze kunisitiri wakati najipanga nichukue 3s gteIna 2jz ila ge sio gte. Is300 ikiwa auto na yenyewe inachezea kwa rs200 mzee.
Kwangu mimi The best engine kwenye tezza ni 1jz gte au kama mfuko uko vizuri unaisuka inakuwa 1.5jz gte. 3s ni dhaifu inawahi kufa.
Yeah. Yeye na Steve wana mkono wa kushift mzee acha kabisa.Jay mzee wa kupimp 😀
Inakufa vp mzee? Unatumia oil gani yenye viscocity gani? 3s oil yake ni synthetic we usije ukawa unaitia 20w50 kama 1G😅3s yangu inakufa taratibu,nairekebisha iweze kunisitiri wakati najipanga nichukue 3s gte
Ilikata timing belt ikaenda kupinda valve 4,so nahisi fundi akuirudishia vizuri maana ananishawishi ninunue engine nyingine baada ya hii kukosa nguvu ikitembea umbali flan,anadai piston ring zimekufa,ajabu shida imeanza baada ya yy kurudishia valve na anadai oil inapanda hadi kwenye injector na exhaust,so nikaita fundi mwingine kaaingalia kadai alichoona yeye inavujisha sana kwenye pulley ya cam shaft gari haina oil na hata new timing belt imeloa oil,ila engine aitoi moshi na inatoa hadi maji kweny exhaust,hii issue yote inatokea ikiwa mimi sipo dar,so nikirudi huku mkoa ndio nitajua naanzia wapi 😀,but mpk naondoka gari ilikua poa tu,ilipaki karibia miezi 4 dogo siku hiyo apigie misele ikamtikitikia timing na shida ikaanzia hapoInakufa vp mzee? Unatumia oil gani yenye viscocity gani? 3s oil yake ni synthetic we usije ukawa unaitia 20w50 kama 1G😅
Pole sana Mkuu. Ifanyie tu overhaul mkuu. Uzuri wa 3sge inakubali overhaul.Ilikata timing belt ikaenda kupinda valve 4,so nahisi fundi akuirudishia vizuri maana ananishawishi ninunue engine nyingine baada ya hii kukosa nguvu ikitembea umbali flan,anadai piston ring zimekufa,ajabu shida imeanza baada ya yy kurudishia valve na anadai oil inapanda hadi kwenye injector na exhaust,so nikaita fundi mwingine kaaingalia kadai alichoona yeye inavujisha sana kwenye pulley ya cam shaft gari haina oil na hata new timing belt imeloa oil,ila engine aitoi moshi na inatoa hadi maji kweny exhaust,hii issue yote inatokea ikiwa mimi sipo dar,so nikirudi huku mkoa ndio nitajua naanzia wapi 😀,but mpk naondoka gari ilikua poa tu,ilipaki karibia miezi 4 dogo siku hiyo apigie misele ikamtikitikia timing na shida ikaanzia hapo
Overhaul ya 3sge kwa mafundi wetu ni kama kucheza kamari ndio maana nataka inisitiri mjini nikiendelea kuitumia huku nikijipanga kuswap engine nyinginePole sana Mkuu. Ifanyie tu overhaul mkuu. Uzuri wa 3sge inakubali overhaul.
Hilo jambo huwa naombea sana lisinikute maana 3s ujinga wake kwenye timing belt pale kuna cover la plastic kwahiyo huwezi kuuona mkanda kama ushaanza kuchoka. Nitaubadilishaga kabla hata km zake hazijafika maana 3s kutoka Dubai sasa hivi ni mil.3.
Niombee kipenzi changu😄😄😄 weee
Nakuombea upate maokoto mengi