Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Ulianza vizuri sana mzee lakin tatizo ni kwamba umeingiza matusi na kejeli sasa hii inapelekea hoja zako mimi nizione ni utopolo ulipaswa kunipa fact na kunitaka na mimi nikupe fact then baada ya hapo mnyama mkali nagejulikana kutona na fact amnazo zingekuwa zimetolewa

Ila daah i rest the case over here ndugu yangu nikuache tusije chomana visu bure mkuu!!
 
Itetee mark x yako kwa kujibu hoja za and 100 others !!
 
Wee utakuwa Muha mbishi na haujui kitu na hautaki kujua. Kuna jamaa hapo juu kakuelewesha kwa facts lkn unajidai post yake haujaiona.
 

Pole na Samahani kama kuna mahali nimekukwaza.

Wewe ndio ulianza kuambia watu tumekaririshwa, hilo ndio tusi sasa. Na ndio maana nikawa najaribu kukurudisha, uache hayo maneno yasiyo na msingi ujibu hoja, na dondoo ambazo ni facts nilikupa. Kuambia watu wamekaririshwa bila evidence wala hoja ni dharau na inakuwa tusi automatically.

Sasa tuache hayo tetea hoja zako au ishia hapo kwa kukubali kuwa judgement zako zilijuwa ni oversight.

Halafu nenda kaongeze ujuzi ili ukiwa unaleta hoja iwe based on fact na si personal preference tu, na maneno ya kijiweni ya kuambia watu wamekaririshwa, sijui utopolo.

Na nasisitiza hata kama gari moja ni nzuri sana kuliko mwenzake, personal preference haizuiliki ila tusipotoshe facts coz wengi wanapata ujuzi na uzoefu huku
 
[emoji3][emoji3] ww huna tofauti na mm, hizo tax dah sijawah zielewa kabisa...mi ni mwendo wa hatchback tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa kwenye gari za Kijerumani ningekwambia unataka kufananisha bmw 5 na 7series. Platforms tofauti za magari. Napenda kutumia msemo 'Crown ni flagship ya japanese sedans'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…