Kwanza tuanze top speed Mjerumani ni 240-260.Ebu tupe darasa kidogo tufanye comparison Kati ya Toyota crown [emoji146] na gari ya kijerumani sedan yenye CC 2400...
Ndiyo maana nimesema huwa hazipishani Sana na European cars
Dont waste your time, Crown inaweza kusumbua gari za Kijerumani zenye cc chini ya 2000 non-turbo, tena itasumbua mbio fupi, ikipatikana stretch imenyooka hata hizo za cc2000 crown inakaa.Ebu tupe darasa kidogo tufanye comparison Kati ya Toyota crown 👑 na gari ya kijerumani sedan yenye CC 2400...
Ndiyo maana nimesema huwa hazipishani Sana na European cars
Cc2400 Crown haitii pua tena hizi za 4gr ndio urojo kabisa. Kuna bmw 1series au 3 series tu yenye N52 engine balaa.Ebu tupe darasa kidogo tufanye comparison Kati ya Toyota crown 👑 na gari ya kijerumani sedan yenye CC 2400...
Ndiyo maana nimesema huwa hazipishani Sana na European cars
Dont waste your time, Crown inaweza kusumbua gari za Kijerumani zenye cc chini ya 2000 non-turbo, tena itasumbua mbio fupi, ikipatikana stretch imenyooka hata hizo za cc2000 crown inakaa. Kuna siku naenda Tanga na Crown maeneo ya Kabuku usiku kama saa tano ghafla naona kuna taa amazing za gari ndogo ziko nyuma yangu. Tangu nimetoka Dar hakuna gari ilikuwa inanisogelea au kuresist nikitaka kupita. Baada ya kuona hizo taa nikaanza kukaza, kila nikikukuruka jamaa yupo tu 160/170 jamaa yupo nikaona isiwe tabu ngoja nione gari gani, nikalegeza mguu jamaa akatanua kucheki Audi A4 2.0T nikamuacha aende.
Ulifanya jambo la busara, ungekaza angekulamba tu.Dont waste your time, Crown inaweza kusumbua gari za Kijerumani zenye cc chini ya 2000 non-turbo, tena itasumbua mbio fupi, ikipatikana stretch imenyooka hata hizo za cc2000 crown inakaa. Kuna siku naenda Tanga na Crown maeneo ya Kabuku usiku kama saa tano ghafla naona kuna taa amazing za gari ndogo ziko nyuma yangu. Tangu nimetoka Dar hakuna gari ilikuwa inanisogelea au kuresist nikitaka kupita. Baada ya kuona hizo taa nikaanza kukaza, kila nikikukuruka jamaa yupo tu 160/170 jamaa yupo nikaona isiwe tabu ngoja nione gari gani, nikalegeza mguu jamaa akatanua kucheki Audi A4 2.0T nikamuacha aende.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 Japanese Benz wanyonge wake ni sisi wajapan wenzake akina rumionwaste your time, Crown inaweza kusumbua gari za Kijerumani zenye cc chini ya 2000 non-turbo, tena itasumbua mbio fupi, ikipatikana stretch imenyooka hata hizo za cc2000 crown inakaa. Kuna siku naenda Tanga na Crown maeneo ya Kabuku usiku kama saa tano ghafla naona kuna taa amazing za gari ndogo ziko nyuma yangu. Tangu nimetoka Dar hakuna gari ilikuwa inanisogelea au kuresist nikitaka kupita. Baada ya kuona hizo taa nikaanza kukaza, kila nikikukuruka jamaa yupo tu 160/170 jamaa yupo nikaona isiwe tabu ngoja nione gari gani, nikalegeza mguu jamaa akatanua kucheki Audi A4 2.0T nikamuacha aende.
Sometimes ukiwa highway ni Bora uwe mpole Tu hawa wajapan wapo kwajili ya kukufisha kariakoo na kurudi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka lkn nazani ulivocheki logo ya Audi
Ukajisemea kimoyomoyo… ”hata nisijichoshe”
Acha iende,kila mnyonge na mnyonge wake acha nisubiri alphard na vanguard tuvimbiane[emoji28]
Muhimu kujua limit yako.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka lkn nazani ulivocheki logo ya Audi
Ukajisemea kimoyomoyo… ”hata nisijichoshe”
Acha iende,kila mnyonge na mnyonge wake acha nisubiri alphard na vanguard tuvimbiane[emoji28]
Honestly Crown inajitahidi sana ni vile tu gari za Japan (JDM) Zina 180kph limit.Sometimes ukiwa highway ni Bora uwe mpole Tu hawa wajapan wapo kwajili ya kukufisha kariakoo na kurudi
Hii inaweza kuwa ya Singapore au Malaysia.View attachment 2439652
Zipo crown zenye 260km/hr
Kama ile hybrid 3.5 inatumia mafuta kidogo, halafu moto wake hakuna crown yeyote inafuatia, kuanzia Majesta mpaka athlete 3.5, kama unavyosema 180km/h ni kikwazo.Honestly Crown inajitahidi sana ni vile tu gari za Japan (JDM) Zina 180kph limit.
Ukinunua crown au mark x za nje ya JDM hazina speed limit ya 180, zina kwenda mpka 240 kph bila tabu, shida wote tunaagiza crown za jdmKwanza tuanze top speed Mjerumani ni 240-260.
Hii ni Lexus IS-FAMG anafika mpk 320km/hr
Habari ya mjini ni discovery sasa iviToyota Crown zilizo nyingi ni Grs180/182/184, kama hiyo uzao wa series Grs200/202/204 bado zipo chache na bei imesimama.
Zikishuka bei hiyo ndinga nicheki! Sie wapenda vitongaMoja ya gari pendwa hapa mjini
Ni Executive sedan Inakupa kila kitu comfort,luxurious,performance&reliabilty!!
Ukiona nyingi ujue zinapendwa na affordable
Utagundua hata TRA wamezipandishia ushuru hii imepelekea hata resale value yake kuongezeka hivi
Karibuni wapenzi na wamiliki wa crown kene thread!View attachment 2434741
Everybody deserves a Crown [emoji146]
Drop your experience and picture [emoji1484]
[mention]Extrovert [/mention] our brand ambassador [emoji23][emoji91]View attachment 2434742
View attachment 2434743
View attachment 2434744
View attachment 2434745
View attachment 2434746
View attachment 2434747
View attachment 2434748