Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

IMG_3527.jpg

Kutana na hii Crown GRS200 Smart key [emoji119]
 
Mtu kama anamudu ulaji wa 3gr wa mafuta ni bora achukue tu yenye 2gr.

2020 Kulikuwa na crown kama hiyo ya Arusha ilikuwa inauzwa mil.17 ikashuka mpaka 14. Kila mtu anaekuwa interested nayo akifika anakuta ina cc3500 anaachana nayo. Akatokea mshkaji mmoja mtu wa mbio akajilipua akaichukua. Baada ya kuichukua na ye ni mtu wa mbio akawa anakuja nayo hapo quality centre siku kuna jamaa ana subaru yake tena sti akataka watest crown si ikambomoa, hakuamini wakarudia tena na tena matokeo yakawa yale yale. Kuanzia hapo ndo tukajua habari za hiyo injini na masela baada ya kuona mwendo upo wakaachana na ubahili wa mafuta wakaanza kuagiza hizo za 2gr sasa hivi zipo zipo.
Watu kumbe walikuwa hawajui kama kuna 2GR mziki mnene? 🤣

Siku watashangaa wamebomolewa na Vanguard ya 2GR maana ipo pia ndio watashika vichwa vizuri.
 
Wiki iliopita nimesafir na v8 LC200 asee kiukweli sioni utofauti na crown kwenye swala la comfort inshort...niliinjoy sana safari za crown kuliko LC 200
Kwenye V8 dereva na abiria wake mtakaa kama mpo nyumbani kwenye masofa hata shingo inatulia kwasababu unakuwa unachungulia barabara Kwa chini tofauti na hizi sedans lazima uinue shingo kidogo Kwa juu ili uweze kuona mbele pia Miguu kwenye V8 inakaa vizuri zaidi kuliko sedans ambapo lazima Miguu inyooke Hadi mwisho.
Utofauti upo mkumbwa kwenye haya magari
 
Mtu kama anamudu ulaji wa 3gr wa mafuta ni bora achukue tu yenye 2gr.

2020 Kulikuwa na crown kama hiyo ya Arusha ilikuwa inauzwa mil.17 ikashuka mpaka 14. Kila mtu anaekuwa interested nayo akifika anakuta ina cc3500 anaachana nayo. Akatokea mshkaji mmoja mtu wa mbio akajilipua akaichukua. Baada ya kuichukua na ye ni mtu wa mbio akawa anakuja nayo hapo quality centre siku kuna jamaa ana subaru yake tena sti akataka watest crown si ikambomoa, hakuamini wakarudia tena na tena matokeo yakawa yale yale. Kuanzia hapo ndo tukajua habari za hiyo injini na masela baada ya kuona mwendo upo wakaachana na ubahili wa mafuta wakaanza kuagiza hizo za 2gr sasa hivi zipo zipo.
kuna mjinga mmoja alinibishia Sana juu ya brevis 300i(2GR engine) dhidi ya Subaru sti nilimpa Sana somo kuwa hiyo sti inakalishwa mapema Sana na huyu mnyama Ila alibisha mno.. Kwa MTU asiyejua kitu ni ngumu Sana kuelewa
 
Watu kumbe walikuwa hawajui kama kuna 2GR mziki mnene? 🤣

Siku watashangaa wamebomolewa na Vanguard ya 2GR maana ipo pia ndio watashika vichwa vizuri.
Sasa wanajua, kulitokeaga cruise ya kwenda Morogoro kama sio Msata. Akaja jamaa ana vanguard ya 2gr alisumbua sana. Na kuna Murano za cc3500 v6 nazo hizo ni kisanga ilikuja moja kwenye cruise Bagamoyo muda wa kurudi Dar akaacha watu watangulie halafu akaanza kukata gari moja moja.
 
Hii gari ni 276HP ikiwa na stock 2JZ-GTE ikifanyiwa tunning tena ni mauaji yani🤣
Ikiwa stock na yenyewe inakaa kwa 2gr maana hilo lilishafanyika tukaona. Ila 2jz ikishafanyiwa mautundu

gap lake ambalo 2gr inaachwa ni kama hivi 👇
 
kuna mjinga mmoja alinibishia Sana juu ya brevis 300i(2GR engine) dhidi ya Subaru sti nilimpa Sana somo kuwa hiyo sti inakalishwa mapema Sana na huyu mnyama Ila alibisha mno.. Kwa MTU asiyejua kitu ni ngumu Sana kuelewa
Brevis haitoboi kwa sti. Sti mbali kwa Glanza v (turbocharged) tu brevis haitoboi Mkuu. 300i inakuwa na 2jz fse inline 6, cc3000. Haiji na 2gr. Ila mziki wa brevis ya 2jz nao sio kinyonge.
 
kuna mjinga mmoja alinibishia Sana juu ya brevis 300i(2GR engine) dhidi ya Subaru sti nilimpa Sana somo kuwa hiyo sti inakalishwa mapema Sana na huyu mnyama Ila alibisha mno.. Kwa MTU asiyejua kitu ni ngumu Sana kuelewa
brevis yenye 300i inatumia 2jz na sio 2gr mkuu kama sijakosea.. hiyo 2gr ipo kwenye crown, mark x, vanguard, Kluger new etc
 
Sema 2JZ-FSE haina maajabu horspower zake kama 4GR tu. Yenye balaa ni 2JZ-GTE humo ndio umeme ambapo haifungwagi kwenye brevis hio Engine zaidi ni Aristo na Crown Athlete V na baadhi ya Chaser kama ile Tourer V zilikuwa zinafungwa hio engine.
 
Back
Top Bottom