Hatuyaassociate matatizo yetu na serikali ndiyo maanaYes,na kuna mtu nilimwambia hapa ,hata ukiongezewa mishahara 500,000/= ,mfumuko wa bei una-cancel out hio payrise,,ila sisi wabongo hatuna elimu hiyo bado
Kuna jambo haulielewi..Hii nchi aliyekuwa analipa kodi haswa ni mtumishi kwa kutumia paye. Imagine unalipwa mshahara wa mil 3 paye pekee ni 720k kwa mwezi zidisha kwa mwaka. Sasa ni mfanyabiashara gani wa kati analipa kodi hiyo? Kodi zitozwe na zitumike ipasavyo, sio mambo mtu anafanya ubadhirifu wa bil 100 faini mil 8 huu unakuwa utani.
Trust none but yourselfBila shaka kuna viongozi hawatutakii mema, ni vema Rais akaliangalia upya hili suala vinginevyo kuna wenzake wanamzunguka. Tafadhali soma gazeti la Raia Mwema Tarehe 21.08.2021
Ulifanya research wapi..., hizo tozo hazijaanza leo wala jana tatizo tozo ni ukubwa wa tozo kuliko vipato vya watanzania ambao wengi wao ni hand to mouth, pia ni utitiri wa tozo unaopelekea double taxationWaTanzania hawana shida na tozo tatizo ni hao wasimamizi wa hizoo tozo wakizifanyia ufisadi wanyongwe.
Maybe he let the money printer go insane,,,sababu Sielewi kbsaMagufuli alikuwa akipata wapi pesa za kuendeleza miradi yake? kama ni kuibia watu tu, siamini kama zilitosha, mbona hii serikali ya Samia inahangaika sana? ina maana Tanzania kuna watu wenye pesa nyingi kiasi hicho kuwezesha kusogeza ujenzi wa miradi mikubwa kama SGR na Nyerere Dam?
Ajabu ya CCM ni pale hata baada ya kuchota hizo pesa kila upande bado watanzania hatutaiona tofauti yoyote kwenye maisha ya kawaida, uapatikanaji wa maji safi na salama utaendelea kuwa wimbo wa kila siku kama kawaida.
Na bado mpaka akili zitusogee.
CCM hii haiwahusu.
Mbogamboga ndo mmetufikisha hapa...Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza
Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR
Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?
Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Mama DNitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza
Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR
Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?
Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Yani umemjibu kiustaarabu sana..mimi ningelitukana bora nipigwe ban...Umekosa hoja na umejawa na aibu ukaona umtaje Mbowe utadhani ndio aliepanga hizo tozo
Mkuu, hata 2015 na 2020 wananchi hawakuchagua hawa ccm. Tatizo ni Tume ya uchaguziKinachofuata ni kuwa 2025 wananchi wote bila kujali vyama vyao au itikadi hawatakichagua chama-ruhani cha CCM kwa kuwa CCM hakina tena vinasaba / DNA ya sifa za kuwa chama cha kisiasa.
Kama huna hoja ni bora upite tu!This is too low!Gaidi mbowe kuliwa na papasi ndio furaha ,Kodi tuatalipa tu ilimradi gaidi afungwe
USSR
tuko tayari na katiba mpya tu. huu ushubwada mwingine ni kutudidimiza wananchi.Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza