Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Hata kipindi cha huyo magufuli kuna wizara kadhaa zilipata nusu ya hela ya bajeti kutokana na pesa nyingi kuelekezwa kwenye miradi mikubwa, tena miradi mingine haikuwepo hata kwenye bajeti(Ununuzi wa ndege). Pia naomba nikuulize kwanini kipindi cha magufuli deni la taifa limeongezeka sana tofauti na marais wengine waliopita?.JPM alikua anatoa wapi hela za kulipia miradi hii? Tena kwa muda bila kuwachelewesha kandarasi! Jana wa machinjio ya Vingunguti mpya TBA sijui ilikua wafungue 1.7.2021 kwa amri ya waziri mkuu ila wamesema walikwama wakidai hawajalipwa almost 3b plus ya kumalizia kufunga AC na bwawa la kutunzia mbolea ndio maana wakasimama.
Zamani hela zilikua zinatoka wapi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Pumbavu mwenyewePumbavu anahusika nini hapo mpendwa wetu Magufuli.
Deni la taifa limeongezeka kwa kiasi kikubwa kipindi cha magufuliJPM alikua anatoa wapi hela za kulipia miradi hii? Tena kwa muda bila kuwachelewesha kandarasi! Jana wa machinjio ya Vingunguti mpya TBA sijui ilikua wafungue 1.7.2021 kwa amri ya waziri mkuu ila wamesema walikwama wakidai hawajalipwa almost 3b plus ya kumalizia kufunga AC na bwawa la kutunzia mbolea ndio maana wakasimama.
Zamani hela zilikua zinatoka wapi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hazina wanaibaje ? Kwamba hazipelekwi kwenye taasisi husika au unataka kusemaje Mzee? Huko kwenu barabara,zahanati,maji nk havifanyiki?Tatizo haziimarishi chochote,labda kuimarisha mifuko ya wachache hazina: wanaiba sana
This time around watu watatoka Songea kuja daslam kuifwata 1mSafi sana hii ndio inafaa ili heshima ya pesa irudi mtaani, milioni inatakiwa mtu aipandie basi ikiwezekana avuke mkoa sio eti "tuma na ya kutolea"
nimependa hoja yako ya malaya kuhalalishwa walipe kodi. kila nikihoji ubaya wa huduma hii hakuna anayeleta hoja za msingi zaid ya kurejea vitabu vya riwaya za waarab na wayahudi.Hawa wapuuzi wanaojipangia kodi tu kiholela holela inatakiwa na wao waanze kulipwa laki 5 au laki 6 ili wakati wanatunga sheria zao za kindezi kama hizi waone athari zake!
Sehemu pekee ya kuimpose kodi ni kwenye vitu ambavyo ni optional sio vitu vya lazima kwa kila mtu kutumia kama miamala!
Wekeni hizo sh.100 kwenye viwanja vya mipira watu wanajazana karibia elfu 60 kila mechi ikichezwa they can get alot of money from such activities!
Waweke tozo hizo kwenye vitu kama highspeed roads ambako sio lazima mtu kutumia! Wajenge autobahn waweke tozo waone kama watu hawatalipa😅
Kodi zinatakiwa ziwe fun to pay ujiskie raha tokana na convenience unayopata sio unatozwa kodi kwenye kitu ambacho hakiburudishi zaidi unaumia tu. Sijui hawa watu wanafikiria kutumia matako!
Wasajili malaya wawape maeneo maalum waanze kulipia kodi watu watalipia tu wala hawatanung’unika. Ile ni starehe mtu hawezi umia!
Waweke kodi kwenye vinywaji kama bia! Watu watazinywa tu bila kujali kodi ni sh.100!
Shida ya wenye mamlaka hawataki ku diversify kodi hizi wanataka zote warundike sehemu moja! Simu itozwe kodi kwenye vocha,internet, voice na sms, line itozwe kodi, bado serikali wabandike kodi juu tena!?
Mafuta yakiingizwa yalipe kodi, leseni ya sheli inatakiwa ilipe kodi, mjazaji mafuta alipe kodi ya reli na sasa ya uzalendo 😅😅😅
Mwigulu hajawahi ibua jambo lolote la manufaa kwa wananchi.Na pia tuanze sasa kujifunza kubet! Na huko nako eti kodi imepunguzwa!!
Dr. Mwigulu ni janga aisee!! Yaani anapunguza kodi kwenye bia na kubet! Halafu anaongeza kwenye mawasiliano, ambayo ni muhimu kwa kila mtu!!
Kama siyo kukomoa watu huku, ni nini!!
Kuna crdb cardless withdrawKwamba unawashtua NMB kuhusu pesa fasta,kwa taarifa yako siku hizi pesa fasta inakataa.sio ya kuiamini inaweza kukulaza njaa.
Baada ya vifurushi wameamua kuja kutest mitambo na hukuBaaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.
Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.
Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?
View attachment 1846646
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?Mmh..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Haituhusu tunachotaka ni kodi. Vijana mkalime acheni uvivu. Sie tuko na viete,marupurupu,mishahara isiyokatwa PAYEHii inaongeza ajira au inapunguza?!
Hii itasaidia sana kupunguza upotevu wa pesa unaosababishwa na zile message za tuma na ya kutolea...tena raia ziendelee kulalamika kwa sana tunapata pakutokea.This time around watu watatoka Songea kuja daslam kuifwata 1m
[emoji1787][emoji1787]Hao mademu kwisha habari yao..ni mwendo wa "ifwate gheto,makato ya kutuma ni makubwa sana"..baada ya hapo ni utatoa hutoi..Hii itasaidia sana kupunguza upotevu wa pesa unaosababishwa na zile message za tuma na ya kutolea...tena raia ziendelee kulalamika kwa sana tunapata pakutokea.
Wale wa nitumie nauli ndio nitakuja, kwisha habari yao[emoji1787]
Yah mkuu inaboa sana yani!nimependa hoja yako ya malaya kuhalalishwa walipe kodi. kila nikihoji ubaya wa huduma hii hakuna anayeleta hoja za msingi zaid ya kurejea vitabu vya riwaya za waarab na wayahudi.
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.
Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.
Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?
View attachment 1846646