Bado punguzo ni dogo sana! Tuendelee kutumia benki!
 
Bado tozo ni kubwa sana. Zilipaswa kupunguzwa kwa 91%
 
Tunatarajia na kumshauri atoke hadharani aombe radhi wafuasi wote wa Kristo Mfalme na kutubu kwa Mungu kwa kupotosha Neno lake Takatifu akiwa katika kiti cha Spika wa Bunge la JMT.
Jeuri yule, alisema tozo tutatoa tu
 
Bado ni nyingi sana. Serikali ibuni vyanzo vingine vya mapato sio kunyonya raia wanyonge.
 
Bob Marley n the wailers...!!!

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Ili Kujua Punguzo la Kweli unapaswa Kujua Ongezeko la tangu awali kwa hili punguzo ni Ongezeko la kiasi gani....

Kumbuka Tuzo zilikuwepo..., Zikaongezeka Maradufu..., Hili Punguzo ni kupunguza hilo Ongezeko

Kwahio Serikali imepunguza Ongezeko. Correct Statement ni Serikali Kuongeza Tuzo kwa Asilima kadhaa ni dhihaka kwa watumiaji
 
Nikweli punguzo za tozo hazitoshi aaisee tunapambbana sana kujijenga pamoja na kukosa ajira lakini bado mambo yanazidi kuwa magumu tukijutahidi kuinuka tunarudi chini serikali itafute namna nyingine ya kupata hela au idili na wanaotaka hizo tozo sisi bado sanaa kumudu haya makato...
 
Umeishiwa umeme,umeishiwa salio.Huna Salio huwezi nunua Salio toka account yako ya bank.
Wachawi acheni roho mbaya za kuwaroga walio na faida kwenye Jamii.
Hata tozo nanyi ni waathirika
 
Tutafanya mahesabu ngoja watoe mkeka mpya wa viwango vya tozo
 
Umeishiwa umeme,umeishiwa salio.Huna Salio huwezi nunua Salio toka account yako ya bank.
Wachawi acheni roho mbaya za kuwaroga walio na faida kwenye Jamii.
Hata tozo nanyi ni waathirika

Sema serikali hili swala naomba waliwaze mara mbili mbili tutaanza kutembea suruale zimetoboka sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…