ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hata Yanga ishinde hakuna itakapornda maana CR atashinda mechi ya Mwisho na Madeama Sasa mtaenda wapi? Mtapata hata sare na Al Ahly nyie? Mnao huo uwezo?Sidhani ndio nn kitu cha muhimu ni kupata ushindi hizo goli nne unazosema wewe zitapatikana kulingana na mazingira ya mchezo yatakavyokuwa ila muhimu ni ushindi point tatu huwezi jua ya mbele bado kundi lipowazi yeyote atapita
Mwarabu ataogopaje jua na wakati kwake jua ni kali kuliko huku kusini mwa Sahara?Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi
Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.
Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.
View attachment 2914222
Ni kweli jua ni kali kwao lakini hawajazoea kwenye hilo juaMwarabu ataogopaje jua na wakati kwake jua ni kali kuliko huku kusini mwa Sahara?
Wakati Mello anaanzisha JF lengo lilikuwa kuona michango yenye weledi kama hivi.Hapa nafkiri kilichofanya mpaka mechi ikubaliwe ni hali ya hewa ya mji husika, kwa maana Lubumbashi ina elevation ya 1200 mita kutoka usawa wa bahari.
ambapo Dar ina elevation ya 50 mita kutoka usawa wa bahari.
Yaani mji hupo juu kwa 1150 kutoka usawa wa bahari.kadri eneo linapokuwa juu kwa mita 100,joto hupungua kwa 0.6
So hapo joto kwao linapungua kwa ((1150÷100)×0.6C⁰) = 7.4⁰C
Wakati huku saa 9 mchana joto ni 32⁰C,Kule saa 9 mchana joto ni 25⁰C.
So CAF huwa hawakubali kizembe,kwani mpira lazima uchezeshwe katika hali ya hewa rafiki.
Nenda hata Mbeya uone kama saa mchana yake ni ya kutesa kama Dar.
Kwa nini hawajazoea😂😂Ni kweli jua ni kali kwao lakini hawajazoea kwenye hilo jua
Zinachezwa wapi?Kwake kuna jua ila mechi zao hazichezwagi kwenye jua.
Mkuu ngoja nikwambie, kwenye suala la mazingira rafiki kwenye ni muhimu sana, kwani hufanya wachezaji Waweze kufurahia mchezo husika.Kwake kuna jua ila mechi zao hazichezwagi kwenye jua.