Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Labda washauri wanaogopa kumwambia ukweli mfalme....
Tatizo TRA wenyewe wanatoza kodi kwa kuwakomoa wafanyabiashara.
Imefika wakati kufanya biashara Tanzania ni kama dhambi.!
"Rais" ana washauri wa uchumi?1.Mamlaka ya bandari yakiri upungufu wa mizigo bandarini.
2.Kamati za bunge zaitaka TRA ieleze inatoa wapi hizo kodi wakati idara nyingine zinalalamika hali sio nzuri
3.Kamati za bunge zawalaumu washauri wa Rais kushindwa kumshauri kwa mambo yanayohitaji UTAALAMU.
ITV habari saa 2
Mtakanusha tena?
Mbwembwe zote zimeishia kwenye aibu hii.
Ni wazi mapato ya mwezi tunayosomewa ni madeni ya nyuma sasa njia ya muongo ni fupi uchumi umekwama nadhani Leo ndiyo ccm watasadiki kuwa demokrasia na uchumi ni pande mbili za sarafu moja ukisigina kimoja umesigina vyote.
Si mlikataa ushauri wao mkasema wapinzani hawawezi kuwashauri nyie!Kushauri mambo gani tena,na moja ya kazi ya wabunge si hiyo pia ya kuishauri serikali au wao kazi yao nini pale mjengoni Dodoma.
Ukisikia rais msanii ndiye huyu tuliyenae. Taratibu tu kitu kutakuwa waziHili nalo ni pigo la aibu kwa Serikali yetu
Sijui Watakuja na lipi sasa mana kila aina ya ukweli wanaupindisha uonekane ni uongo
Sasa muhimili mwingine wa Dola umetambua tatizo na kuamua kuliweka wazi, hii inamaanisha tunaongozwa na Serikali inayodangaya wananchi wake kwa kutoa taarifa zisizo sahihi
Na ndiye mtendaji mkuu, alienda kuzungumzia TBC1 baada ya kile kikao na wahariri ambacho kili expose kwamba bandarini kuna shida, hakuna mizigo....TBC 1 wakataka waweke sawa akaenda kuzungumza kule kitu tofauti kabisa!Juzi kati kuna huyo boss wa bandari alisema...bandari mambo safi mizigo ni mingi....leo wamekanusha..
Mary Mwanjelwa kauliza swali zuri sana; bandari mnasema mapato yameongezeka, TRA wanasema makusanyo yameongezeka sasa inakuwaje inasemwa fedha zimefichwa hazionekani?1.Mamlaka ya bandari yakiri upungufu wa mizigo bandarini.
2.Kamati za bunge zaitaka TRA ieleze inatoa wapi hizo kodi wakati idara nyingine zinalalamika hali sio nzuri
3.Kamati za bunge zawalaumu washauri wa Rais kushindwa kumshauri kwa mambo yanayohitaji UTAALAMU.
ITV habari saa 2
Mkuu wengine tulikuwa tunajuba mitego yetu huku kisiwani hatujaona hiyo habari, hebu tupia dondoo kidogo.