TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Kuna ukweli kiasi kwenye andiko hili ingawa ninkweli mizigo imepungua bandariin
 
Alikuwa kosa kubwa toka alipoteuliwa
 
Hata matangazo magazetini nayo huyaamini. Si bure. Uliza ambao wanafuatilia habari za ndani. Uliza TPA. Kuna makontena zaidi ya 40 ya sukari yatapigwa mnada. Mwenyewe ametoweka. Alifanya udanganyifu kwa kusema ni sukari ya viwandani ambayo ina msamaha wa kodi !kumbe ni uongo. Sasa inadaiwa kodi over bilion.
 

Kwa hiyo what's your argument? Mh. Rais aruhusu ufisadi kuendelea ili mizigo i rudi or? What exactly happened mpaka mizigo ipungue?

Ukiniuliza mm nitakwambia, the whole economy ilikuwa inaendeshwa kifisadi na wakafanikiwa kukamata njia kuu za uchumi karibu zote sasa unafikiri wao hawana strategies za kuilazimisha serikali ikubali kulegeza masharti kidogo? Mawazo yangu haya...

Then we need to come together as a country to decide je tuendelee na statusquo au tujenge uchumi inaomilikiwa na wengi ili in long run kusiwepo tena na carteils ambazo zitatuletea shida kama taifa.
 
Badala ya mamlaka husika TRA kukanusha andiko la jana with vivid sources anatokea msu.kule mmoja wa lumumba anakuja kuharishaharisha hapa....
 
nimejaribu kufuatila thread zako leo naona unataka kupotosha ukweli wa jana kuhusu bandari....hilo sawa na pembe la ng'ombe mkuuu halifichiki......
 
Hivi kweli kwa uelewa wa mtu wa kawaida (layman) wa mambo ya bandari ukamwambia mtu/kampuni ilikuwa imapitisha tani 40 elfu za mizigo halafu leo mtu/kampuni hiyo inapitisha tani elfu moja na mapato ya bandari yameongezeka atakuelewa? Hiyo kodi ya hizo tani elfu moja ni kiasi gani hadi izidi mapato yaliyokuwa yanapatikana kwenye gharama zilizokuwa zinatozwa kwenye zile tani elfu 39?
Sishangai kwanini Rais anasema watu wameficha fedha kama ushauri anaopata ni kama huo wako.
 
Mtakuja kukumbuka shuka kumepambazuka!!!

Kuna huu msemo mpya kuwa serikali ilikua haina hela kwamba mafisadi ndio Walikua na hela na sasa serikali ina hela, mnasemaa kujipa moyo but the sitation now is worse!!!


Iyo miradi ya reli uliyo itaja nakumbuka juzi tu hapa balozi wa china ndo katoa mkopo wa almost more than 5 trilion kuhusu reli yakati!!!! Kama serikali ina hela kwanini tusingejenga kwa fedha zetu za ndani???

Miradi mingi mikubwa yoooote ni misaaada!!!! Mfumuko wa bei bado upo juu!!!! Leo gengeni kikombe cha chai ni tsh 400/=

Kunamahla pamekosewa tukubali kurekebisha nasio kubisha!!!!
 
Ni ukweli pia nyingi ya biashara zetu zilikuwa zinashamiri kwakua kulikuwa na exposed income kwa wapiga deals ambao kwa bahati mbaya wengi wao pia ndiyo walikuwa kwenye nafasi za hudima za jamii. Sasa hivi kila mtu kakimbiza bawa lake you think wataendelea na biashara zao hata baada ya macho ya taifa kuanza kumulika?

Tukubali kuwa mshahara wa dhambi ni mauti. Tulitenda dhambi hivyo mauti ya uchumi kwa muda hatutaikwepa...ila rehema na toba ndiyo itasaidia kutuvusha hapa tulipogotea. If I am to enter now in my position...acha nitabiri sasa... kwa muda mfupi mambo yatatengamaa na wataibuka watanzania wengi katika uchumi ambao utaweka msingi imara na kulifanya taifa liendelee kwa exponential rate!

So shall it be in Jesus name...watu na waseme AMEN!
 
mkuu na wewe umeongezewa tshs ngapi na tigo na voda kwa kutuma na kupokea pesa ukipata jibu utajua kwa nini makusanyo kutoka makampuni ya cm yameongezeka
Binafsi sioni shida kulipa kodi kama matumizi yana tija!
Wimbo wetu wa kila siku serikali ifanye hiki au kile. Biashara ya serikali ni kukusanya kodi basi. Kodi ikusanywe tuone Barbara, reli , dawa hospital nk
 
SHIDA YA MAGAMBA..KAANDIKA KIUSHABIKI TU
Wewe huna Elimu ya juu na hayo unayongea ni pumba tupu.wizara zinalalamika mizigo na kodi kuwa kubwa wewe unakuja kubwabwaja ujinga hapa.




Swissme
 
Kwa hiyo Avatar yako hapa unadhani ungeleta hoja gani zaidi ya kujikomba kwa mfalme?
Usisahau muda huwa hauna rafiki,na muda ndio huwa jibu tosha kwa kila uwongo
 
Hata wakikaa kikao bado kuna tatizo la biashara kutotabirika kutokana jinsi nchi inavyoendeshwa na pia matamko ya kushtukiza ambayo yanamfanya mfanyabiashara yoyote kusimamisha biashara ili upepo ukae sawa maana huwezi kuwekeza mtaji mara kesho unasikia serikali inahamia dodoma unajipanga kuwekeza dom mara wanaamka imeshindikana kuhamia dodoma,na kipindi hiki kipato kimekuwa kigumu sana watu wengi wamepunguzwa makazini wengine wamesemwa ni hewa wako mtaani hawana kitu hizo biashara watanunua na nini wakati purchasing power imepungua?serikali ifike mahali iweke wazi mipango yake ieleweke sio kuendeshwa kwa matamko mara hakuna kuvuta shisha mara baa kufungua saa kumi.....
 

Ndio maana raisi anapohangaika kuweka mambo sawa.halafu wapuuzi nisiojua wanatumwa na nani kwa manufaa ya nani, wanakosoa kila kitu napata ghadhabu sana.

Hii inchi ilikuwa pabaya jamani nani asiyejua!!!!!.mara ngapi mashirika ya biashara ya nje yamelalamika kwamba biashara tz ni ngumu, yaani kuna watu walikuwa wanakuja kuchukua hela sio kufanya biashara.
 
Reactions: Ame
Hivi kumbe Dr. Mihogo yuko Canada? Anakula pesa za Usariti!
idawa
 
Hii kamati inaleta uchochezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.

umesoma ukaelewa topic?
 
Kuna wakati inabidi tuseme ukweli tuache ushabiki wa kisiasa mizigo imepungua Bandarini.
 
Nawewe umeingia kwenye Mkumbo wakushangilia namba za Jamaa wa TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…