TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Kukusanya kodi ni kazi kubwa sana hata marekani hukosa $600b kwa mwaka, na Greece waliangukia pua kwa kushindwa kukusanya kodi kwa 89.5% na ninaowakubali kwa ukusanyaji wa kodi ni Germany kwani hukosa asilimia mbili tu na kidogo kwa ukusanyaji hiyo inatokana na uzalendo wao wa hali ya juu tofauti na Greece ambao wakusanyaji wa serikali walikuwa wanapewa cha juu na hawapeleki mapato serikalini
Tujifunze kwa wenzetu.
 
Angalizo yakipigwa mnada isijekuwa ndio yanapigwa mnada alafu wale wale ndio wanatuma watu wao kuja kuinunua.
Wafanyabiashara wafanye biashara waache ujanja Ujanja ambao unawaweka katika kipindi kigumu kwa serikali. Maana wafanyabiashara wanaisi awajulikaniki kumbe wanajidanganya sana wafanyabiashara wote wanajulikana. Na ndio maana sasa ivi TRA wanaanza kuboresha taarifa za kila mwanachama mwenye Tin Number.
 
Sasa kama mapato yanashuka mapema hivi utalipwaje huo mkopo wa Exim ya China wa standard gauge sababu tumekopa zaidi hata ya budget ya mwaka na nusu?
Nchi itapigwa mnada!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Yale matamko ya kitisho na ubabe kwa wafanyabiashara ndiyo yemetufkisha hapa.
 


kizungumkuti hikii....disco limeingia mmasai......KWELI MIZIGO IMEPUNGUA...ukiangalia hata ulikuwa ukipita Salenda unaona meli zimejipanga sasa huoni tena....NI HATARI... BABA ASHAURIKE
 
Kwa mujibu wa TRA malengo ya makusanyo yanaendelea kuvukwa pamoja na upungufu mdogo wa mizigo bandarini. Hivyo hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kwa sasa kwani nchi bado inakusanya kodi kama ilivyo tarajia.
 
Niliopna hizo takweimu za Voda na Tigo kwenye Daily News. Naamini Airtel hawako mbali sana kwenye figure hizo.
 
Hii issue aliizungumza sugu bungeni, ila ndo hivyo tena akaonekana mvuta bangi
Dah....jamaa anazungumza kimzaha mzaha lakini kwa kweli ana make sense sana tu.
 
Mficha maradhi siku zote kifo humuumbua,uchumi hauhitaji hasira na kuchamba kwingi mwishowe ni kushika mavi.
 
Kazi ya wabunge Ni kuishauri serikali kazi ya Waziri Ni kumshauri raisi kila ngazi ina ukomo wake ila kwa mtukufu sijui kama atakibali ingawa naamini hakuna baunsa WA njaa
teh teh "hakuna baunsa wa njaa"
 
wazungu wasema, "YOU NEVER KNOW WHAT YOU'RE MISSING TILL WHEN YOU DONT HAVE IT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…