TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Wewe kweli bado upo gizani jaribu kuwa serious kidogo na kuipenda nchi yako
mara ya mwisho kwenda bandarini ni lini?

maana meli zinapishana tu kuingia na kutoka sasa sijui furaha yako ni kuona mizigo imelundikana
 
Kuna ombwe la uongozi nchini kwa sasa, tukubali au tukatae. Ndio maana Rais anatumia nguvu nyingi kudhibiti wanaomkosoa kwani anajua kabisa jahazi limemshinda.
 
mara ya mwisho kwenda bandarini ni lini?

maana meli zinapishana tu kuingia na kutoka sasa sijui furaha yako ni kuona mizigo imelundikana
Hivi umeelewa kinachojadiliwa kwenye hi mada? Kwahiyo wewe kwako meli zikipishana ndo zinaongeza mapato na mizigo?
 
Hii huenda ndio sababu ya serikali kushindwa kuajiri na kulipa stahiki za watumishi wa umma.
 
Naona wamejikita moja kwa moja kwa washauri wa mh kuhusu masuala ya kodi
Nadhani panatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa wataalamu wa masuala ya kodi na biashara ili kujadili hali hii ambayo kama ikiachwa italigharimu taifa.
Kuna wachumi flani hiv na mtaalam wa kodi na mshauri wa masuala ya kodi pia mwanasheria waliomba kuwe na mjadala wa wadau na serikali juu ya kodi ambyo haina jina ya tozo katka miamala ya kifedha pia wadau wa utalii na wafanyabiashara pia forodha ili kujadili jambo hlo kabla halija affect uchumi kuwa wanaeza kaa meza yapamoja kujadi jambo hilo kwa maslah mapana ya taifa kwani wadau na wananch hawaja husishwa au kupewa elimu cjui jambo hili kama lilipewa nguvu ili kuokoa kinachotokea leo na sielew kama wadau wa matamko yanayotolewa wanahusishwa katka mazungumzo au ni utekelezaji tuu.. Vipi utoe mtihani wakat hujawah ingia darasan tena una una address in a short notice lazma upokee failier wengi kwani hujawashrkisha kuwaaandaa au kuwa highlight..
 
watashaurije wakati wana vinasaba vya NDIYOOO HATA KWA MAMBO YASIYO NA TIJA KWA TAIFA?
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Hivi umemwelewa mkurugenzi mkuu wa bandari kweli?Amekiri hali ya bandari sio nzuri na mizigo kupungua kwa asilimia kubwa.
 

Nasikia makusanyo yanayotangazwa na TRA ni makusanyo hewa.
 
Nasubiri mkuu wa mkoa Makonda kutolea tamko hili suala.maana bandari iko mkoa wake
 
Kila nikipita Tunduma najiuliza utitiri wa haya malori ya mizigo yanayovuka kwenda zambia yanatokea wapi. Malori mpaka vichochoroni lakin ukija kwenye vyombo vya habari unaambiwa bandari haina mizigo. Nimepita makambako nimekuta foleni ya malory ya transit zaidi ya km 4 yanasubiri kuvuka mizani.
 
Uchumi haujengwi kwa kuwabana watu kimaisha,kutaka wenyenacho wawe masikini nikutaka maskini wawe fukara na fukara wafe!!! Uchumi hujengwa kwa umakini mkubwa na kwa principles na formula. Leo nimekaa na wadau toka nje ya nchi wanasema wanajipanga kwenda Namibia,Botswana ama Msumbiji kuwekeza kwa miaka Kumi waone Kama wanaweza Rudi hapa Tena...hakuna viwanda vinavojengwa sehemu watu hawana purchasing power,raw material shida,umeme ghali na washida,bandari ndohiyo,taasisi za kifedha mf.mabenki hoi,technolojia duni...sijui tunaelekea uchumi wa kati kwa maneno au vitendo doh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…