Hata wakati Loliondo inauzwa, WALIANZA KWA KUKANA..
!! Hata wakati Zanzibar imejiunga na OIC, WALIANZA KWA KUKANA..!! Hatimaye aliyeandika kwenye gazeti lake akauwawa (RIP Stan Katabalo) na gazeti lake (Motomoto) likafungiwa maisha..!!

Hivyo kukana na kawaida yenu, hatuwashamgai..!! Hata 1.5T zilizotajwa na CAG wa wakati huo mlikana kuwa hazijaibiwa, LAKINI, HADI LEO, HAKUNA ANAYEJUA ZILIKO..!! Hivyo kukana ni utamaduni wenu.
 
TPA anakanusha kama Nani?? Ile Document sio ya TPA ni ya BUNGE
Wameshaanza kuhaha na sasa wanataka kupotosha ili mpango wao ufanikiwe. Nimeona Press release ya TPA wao wanadai kuwa Mkataba ni wa miezi 12 kuwasaidia kuindesha bandari .... sasa kama ni kweli kulikuwa na haja gani ya kupeleka hiyo issue Bungeni na kutafuta maoni ya watu!!?
 
Ukweli hakuna sehemu imeandikwa miaka 100
 
Kwani waliosaini hiyo document ni akina nani na je hawawezi kutoa majibu kutoka vinjwani mwao au watuwekee original document tuone???
 
Kama kutatokea kiongozi wa nchi akasaini mikataba ya hovyo, anayefuata atatakiwa kuivunja kama haitakuwa na tija kwa nchi na ni ya kinyonyaji
 
Sawa, Je wameuza Kwa miaka mingapi??? Waseme hapa
 
Ni Wapumbavu sana sana
 
Daah tumeuzaa utu wetu kwenye madini na mbuga za wanyamaaa tukaona haitoshi.
 
Kama kweli hamjabinafisha barikiweni
Hivi sasa ndiyo TICTS ilibinafsishwa kwa hasara wakati wa Mkapa.

Mama anaokoa jahazi linalozama. Kaongea na wajomba zake Dubai huko, huelewi kuwa damu nzito kuliko maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…