johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa zitakumalizaMbowe chali tena
Bwashee bando limekata?Lakini tokea tuanze kusikia upanuzi wa Bandari na itavyokuwa.
Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.Mombasa wao wanasemaje ?
Uzarishaji=uzalishajiissue sio kutanua bandari, issue unayo capacity ya kuifeed hiyo bandari kufikia hizo tani 2milioni za mizigo?..
Shida kuu ya tanzania ni uzarishaji mdogo, tutafute akili tuweze kuzarisha sana...low production ndio issue ya Tanzania..
Kumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.
Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Kumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
Lakini tokea tuanze kusikia upanuzi wa Bandari na itavyokuwa.
Unajua uwezo wa bandari ya Mombasa wewe, au unaandika tu ? Mwaka jana Mombasa ilipokea tani milioni 35. Bandari yetu ya dar kubwa kuliko zote nchini ilipokea tani milioni 17 tu. Kwa hiyo hata iwe imekamilkia ya Tanga , bandari ya dar na Tanga hazikaribii mizigo inayopokewa na Mombasa. Uzalendo maana yake sio kutuandikia uongo ndugu yangu. Nenda google upata ukweli. Na Kenya wakijenga bandari ya Malindi , ni basi tena hatuwapatiPorojo tu hakuna kinachofanyika
Siongelewi habari za kisiwa au nchi kavu, nazungumzia miundo mbinu iliyopo Mombasa kamwe haitakuja kupatikana Tanga port.Kumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
Umeonaeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo nasikia leo kuwa M
Ndiyo leo nasikia Mombasa ni kisiwa!?
Kisiwa cha MOMBASA? [emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
Lugha za kufurahisha...tunaweza kuipita Bandari ya Mombasa, tena sana..Ila baada ya miaka 20 au zaidiNi ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.
Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.