Chukua atlas tu au angalia ramani ya kenya google Mombasa sio kisiwaMombasa ISLAND is a 5 by 3 Km(3.1 by 1.9 mi)coral outcrop located on Kenya' coast on the Indian Ocean,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the City of Mombasa is located on the ISLAND ,including the Old Town.
Mombasa ni kisiwa.Elewa hivyo,ukitoka Mombasa kwenda Nairobi hapo panapoitwa MakupaCauseway,palitutiwa taka ,vifusi mda mrefu sana,ndio kukapatikana njia.Ukitoka Tanga kwenda Msa,lazima uvuke kwa Ferry,ukitoka Msa kwenda Malindi,zamani ilikuwa ferry,siku hizi daraja kubwa la kuvuka.Huwezi kutoka nje ya Msa bila kuvuka maji.hujafika Mombasa wewe ukapanda hata basi tu toka mwembetayari kwenda Nairobi au kuja Tanzania.Ni sawa na useme Kigamboni dar ni kisiwa achana na uzushi wa wikipedia sio sehemu reliable za taarifa
Mombasa sehemu ya kwenda Nairobi utaona Makupa Causeway,hapo pametutiwa,bahari ilijazwa vifusi,kukapatikana njia.Kutoka Tanga kwenda Msa,unavuka na ferry,kutoka Msa kwenda Malindi Kenya,zamani kulikuwa na ferry,siku hizi ni daraja kubwa.Chukua atlas tu au angalia ramani ya kenya google Mombasa sio kisiwa
mombasa haihazungukwa yote na bahari utaitaje kisiwa? hapo ferry ndipo bahari inafikia ukomo ikiiacha mombasa sehemu kubwa bila bahariMombasa ni kisiwa.Elewa hivyo,ukitoka Mombasa kwenda Nairobi hapo panapoitwa MakupaCauseway,palitutiwa taka ,vifusi mda mrefu sana,ndio kukapatikana njia.Ukitoka Tanga kwenda Msa,lazima uvuke kwa Ferry,ukitoka Msa kwenda Malindi,zamani ilikuwa ferry,siku hizi daraja kubwa la kuvuka.Huwezi kutoka nje ya Msa bila kuvuka maji.
Endeleeni kudanganyana. Yani Tanga iizidi Mwombasa? CCM wanapenda sana sifaMbowe chali tena
Hahaaa eti mombasa ni kisiwa nani kakudanganyaKumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
The Makupa Causeway,is a cause way linking Mombasa ISLAND to the Kenyan MAINLAND.The road runs for approximately ona and half miles between the Magongo Circus and Makupa Circus.The cause way dissects Tudor Creek to the east and Port Reitz to the west.mombasa haihazungukwa yote na bahari utaitaje kisiwa? hapo ferry ndipo bahari inafikia ukomo ikiiacha mombasa sehemu kubwa bila bahari
ferry mombasa ni sawa na ferry ya kigamboni Dar au kivuko cha busisi Mwanza je waweza ita Busisi ni kisiwa ?
Suala siyo fahari ya kuipiku bandari nyingine, je tumejipanga vipi kudhibiti upotevu wa mapato ya serikali kama Dsm peke yake tunapigwa!!!?Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
Mji wa mombasa sio kisiwa kuna mabasi yanatoka tanga kwenda mombasa ila kuna eneo la mji ambalo ni ferry unavuka kwa kivukoMombasa ISLAND is a 5 by 3 Km (3.1 by 1.9mi),coral outcrop located on Kenya's coast on Indian Ocean ,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the city of Mombasa is located on ISLAND including of Old Town
twende upande basi pale Mwembetayari pale mombasa kuja Tanzania upande wa kilimanjaro kupitia Taveta kuna bahari gani unavuka??Mombasa sehemu ya kwenda Nairobi utaona Makupa Causeway,hapo pametutiwa,bahari ilijazwa vifusi,kukapatikana njia.Kutoka Tanga kwenda Msa,unavuka na ferry,kutoka Msa kwenda Malindi Kenya,zamani kulikuwa na ferry,siku hizi ni daraja kubwa.
Wewe na vimada vyako vya ajabu ajabu, 24/7/4/52...; hakuna kinachobadilika hata kidogo!Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
Lakini unaweza kutoka Kigamboni bila kuvuka maji.Huwezi kutoka nje ya Msa bila kuvuka maji.
Hilo eneo la ferry,unalovuka,ni bahari,inayopita meli.Na pia ndani ya Kenya,huwezi kuvuka kwenda Nairobi,bila kupita baharini,sasa hivi kunajengwa daraja,lenye thamani ya 4.5b shilingi za Kenya.Na ukitoka Mombasa kwenda County ya Malindi,zamani ilikuwa ferry,mda walijenga daraja kubwa,kuvuka bahari.Pia Kuna Nyali bridge,kuelekea Mji mwingine,ndani ya Mombasa,linapita baharini.Mji wa mombasa sio kisiwa kuna mabasi yanatoka tanga kwenda mombasa ila kuna eneo la mji ambalo ni ferry unavuka kwa kivuko
Kigamboni,ukipita,Kwa Mbagala,hakuna maji,wala kututiwa njia ya kupita.Lakini unaweza kutoka Kigamboni bila kuvuka maji.
Hata ukielekea Kibiti huvuki maji.Kigamboni,ukipita,Kwa Mbagala,hakuna maji,wala kututiwa njia ya kupita.
Kun siku upanuzi utatoshaLakini tokea tuanze kusikia upanuzi wa Bandari na itavyokuwa.
Manka umeshafura!Wewe na vimada vyako vya ajabu ajabu, 24/7/4/52...; hakuna kinachobadilika hata kidogo!
Tokea nikiwa mdogo nilikuwa nikisikia maji kwa wote ifikapo mwaka2000 leo hii nina mvi hadi sehemu za siri siamini tena wanaSiasaKun siku upanuzi utatosha
Waangalie hivyo hivyo. Hawafai kabisaTokea nikiwa mdogo nilikuwa nikisikia maji kwa wote ifikapo mwaka2000 leo hii nina mvi hadi sehemu za siri siamini tena wanaSiasa