TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi aanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378
Mkuu kama hukulitarajia hili pole sana maana ofisi kuu ndiyo iliyoanza kwa kumsajiili bwa tony. Sasa unataka hizo ofisi zingine zifanyeje na wameshaambiwa urefu wa kamba zao ndiyo factor? Kwani february yeye haujui utamu wa dola na hizo pamba za guchi na wengineo anazozipenda ni nani atazigharamia kama si hiyo mikataba?
 
Ndio haya tunayopigia kelele kila siku kuna wataalamu wa mikataba ya mafuta huko serikalini wamewaka stance based na uelewa wao.

Anaingia raisi analazimisha majadaliano ikibidi nchi iondoe bargaining chip zake ilimaradi asifiwe na wapuuzi kama hakina Zitto ambao uwezo wa kuelewa hiyo mikataba unaishia kwenye kelele za local content wakati negotiations za mradi wenyewe ni very complicated.

Matokeo yake kuharakisha mikataba wizara anapewa mtu kama January he is only a good leader kama angekuwa anashirikiana na technocrats wa wizara na taasisi zake. Yeye ana marafiki zake wanaoandika ujinga huko Twitter na analysis za upuuzi anadhani wanajua mambo na kufuata ushauri ndio tunaishia kuelekea huku tunapokwenda.

Lini Tanzania iliwahi shinda kesi nje ya nchi kwa kutumia mawakili wa kigeni; kesi ya ndege S.A tulishinda wenyewe kwengine kote chali.

Huyu mtu anatakiwa kutolewa hapo nishati hiyo wizara ni so sensitive for national security kupewa mtu ambae mpaka sasa ameshadhihirisha ni wa ovyo and clueless yeye na team yake.
 
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi aanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378

Hivi ushauri kama huu hauwezi kufanywa na wanasheria wa serikali?

Serikali iliamuru watafute kampuni?
 
Duuh kwahiyo wanasheria wa Tanzania ni vilaza kwenye issues za sheria za mafuta ??

Anyways.....

Head wa Legal kasoma Masters UK.

Kazi imekua outsourced UK.

Connecting the dots.

Ipo ndani ya urefu wa kamba.
 
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi aanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378
Huko kwenye mimi ushauri wangu ni kupunguza Tozo tu, na ndicho huyo beberu atawashauri
 
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi aanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378

KWa hiyo wakati wa JPM kazi za ushauri hazikuwa zinafanyika?
 
Duuh kwahiyo wanasheria wa Tanzania ni vilaza kwenye issues za sheria za mafuta ??

Anyways.....

Head wa Legal kasoma Masters UK.

Kazi imekua outsourced UK.

Connecting the dots.

Ipo ndani ya urefu wa kamba.
Tupe hiyo CV ya huyo Legal kwanza ,vinginevyo unaleta umbea tu hapa
 
Back
Top Bottom