TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Duuh kwahiyo wanasheria wa Tanzania ni vilaza kwenye issues za sheria za mafuta ??

Anyways.....

Head wa Legal kasoma Masters UK...
Huwaonagi mahakamani? Hata hivyo ,hii ni ishu ya biashara ,hatuna wanasheria mahiri kwenye majadiliano ndio maana hata baba Mikataba hakuna cha maana alileta kwenye makinikia licha ya taarifa ya profesa kusema tumeibiwa Sana na Mwendazake kujigamba weeee.
 
JPM ndio nani? Zingefanyika bila shaka LPG ya Lindi ingeshaanza.
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi...
 
Huwaonagi mahakamani? Hata hivyo ,hii ni ishu ya biashara ,hatuna wanasheria mahiri kwenye majadiliano ndio maana hata baba Mikataba hakuna cha maana alileta kwenye makinikia licha ya taarifa ya profesa kusema tumeibiwa Sana na Mwendazake kujigamba weeee.
Hawa wasiojua waambie waangalie profile ya kampuni kwanza na si wapige makelele kama wanataka kuzaa Baker Botts
 
Mambo ya nchi hii magumu sana ndio maana vijana wanaona isiwe tabu wanajipozea zao mbususu na liquors. Mbaya zaidi hizi mikataba zinafanya siri. Kwanini jambo lenye public interest lisiwe accessible? Nchi hii kupata takwimu tu vya vifo vya wajawazito kwa mtu wa kawaida ni ishu. Shenzi kabisa.
Hivi anaejenga LNG kule kusini ni nan? Mfaransa au Muingereza? Unafikiri Mashirika kama hayo ndani ya nchi kwanini Serikali zao ziko tayari kuwasaidia ili wapate kazi nje? Kwao wanarudisha nn haswa unadhani?

Yani ije kampuni ya Uingereza kwenye Project ya Gas alafu mshindane kwenye maslahi mtegemee iyo kesi mtashinda? Tena imeenda kusikilizwa Ulaya kwao! NEVER
 
Unaijua kampuni ya Kitanzania hata moja yenye weledi wa mambo ya majadiliano ya kibiashara kwenye masuala ya miradi ya matilioni kama hiyo ya gas?
 
Makamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Anaefaa ni mama yako na uko wenu
 
..mkiambiwa mjifunze KIINGEREZA hamtaki.

..sasa subirini muone WAKENYA ktk hiyo kampuni.
 
Kila siku tuna waambia ng’eng’e ndiyo ufunguo wa kila kitu, unaingia kwenye ‘negotiation’ wakati ng’eng’e cheche lazima upigwe tuu, afadhari TPDC wamevunja ukimya!!
Kwani hatuwezi kufanya kwa kiswahili? tunatofauti gani na mangungo kusaini mkataba wa kijerumani?
 
Hawa wasiojua waambie waangalie profile ya kampuni kwanza na si wapige makelele kama wanataka kuzaa Baker Botts
Profile ndio kitu gani?

Tunaongelea vitu vya msingi hapa wewe unaleta ushambenga.

Profile yao iwe kubwa ama ndogo inatuhusu nini sisi Watanzania?

Hii mada huiwezi, kajadiliane huko Instagram na kila Shilole.
 
Nishasema kuwa binadamu huwa tunawacheka wild beasts wanafukuzwa na Simba mmoja. Huku Wana uwezo wa kumgeukia na kummaliza.
Sasa huyu Hana tofauti na Simba anatukula sie.
Yaani pale kwa Ile ya kwanza ya dola milioni 30~tzs 69 hapo za kwake ngapi haujui. Na mama ameshasema kila mtu anakula kwa urefu wa kamba.
Sasa Leo wa uk wamekuja. Unakuta ameshaongea nao labda wamesema coz ni $30Bn project sie tupe 2% yeye naye anaweka zake 3% jumla zinakuwa 5% ya project. Huku inaandikwa kuwa ni 5%
Tokea jpm amefariki nimeshazoea kulala bila ya umeme na huku nilikuwa nimeshasahau.
Alidai kuwa ndani ya siku mbili sijui wiki mbili.
Yaani Hawa born town nchi imewashinda Bora wapewe washamba na malimbukeni.
Sasa u town wake ni kupiga hela kijanja badala ya kufanya majukumu aliyokabidhiwa
 
Kila siku tuna waambia ng’eng’e ndiyo ufunguo wa kila kitu, unaingia kwenye ‘negotiation’ wakati ng’eng’e cheche lazima upigwe tuu, afadhari TPDC wamevunja ukimya!!
Hivi ni law firm ipi hapa Africa ilishawahi kufanya mazungumzo ya mradi wa trilion themanini ?
 
Profile ndio kitu gani?

Tunaongelea vitu vya msingi hapa wewe unaleta ushambenga.

Profile yao iwe kubwa ama ndogo inatuhusu nini sisi Watanzania?

Hii mada huiwezi, kajadiliane huko Instagram na kila Shilole.
Nadhani hujuia hata maana ya mradi wenyewe walai,jaribu kuwa serious kidogo na sio kupiga kelele kama mbuzi anaetaka kuzaa
 
Back
Top Bottom