TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378
Hizo ndio huitwa "Cash cow"hapo wazee WA wizarani wataongeza cha Juu ili wapige pesa,
Sasa hv,
Yaani unayemuuzia ndio anakushauri! Hata mtoto wa darasa la saba angejua hapa unapigwa tu!
Yaani hii mijitu ni mijizi sana,sio kwamba haijuhi, inajua inajenga mazingira ya kupiga,
Yaani Urusi imuuzie Ujerumani gesi harafu itumie kampuni kutoka ujerumani kuishauri Kuhusu maswala ya sheria!!
 
https://www.bakerbotts.com/,jaribu kulinganisha na local firm ndio utuletee majibu hapa
Brother hivi unaelewa kweli wanachosema wenzio?
Mungu akupe macho ya rohoni uone wanachokiona wenzio
Hii nchi kweli haina wanasheria wanaoweza kuifanya kazi hii kwa weledi kabisa kabisa mpaka tuwape hao ....?
Tunao wanasheria wazuri kabisa wameajiliwa serikalini na kwenye mashirika ya umma ni kweli hawawezi kuifanya hii kazi kwa mishahara ya kila siku mpaka tuwape madola hawa ?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Niacheni nilie mie
 
Kwani ardhi yote ya Tanzania si inamilikiwa serikali na kusimamiwa na Rais? Kwa hiyo hata gesi ni mali ya serikali siyo yenu kama mnavyoipigia hesabu. Nyie kaeni msubiri serikali inufaike kwanza halafu masalio na makombo mtatupiwa nyie. Msiingilie kazi za watu na kupiga piga kelele.
 
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.

TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.

Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?

View attachment 2095378

UJINGA NI MTAJI PEKEE WA CCM ULIOBAKI.
 
Hizo ndio huitwa "Cash cow"hapo wazee WA wizarani wataongeza cha Juu ili wapige pesa,
Sasa hv,
Yaani unayemuuzia ndio anakushauri! Hata mtoto wa darasa la saba angejua hapa unapigwa tu!
Yaani hii mijitu ni mijizi sana,sio kwamba haijuhi, inajua inajenga mazingira ya kupiga,
Yaani Urusi imuuzie Ujerumani gesi harafu itumie kampuni kutoka ujerumani kuishauri Kuhusu maswala ya sheria!!
Haha kitu ambacho hakiwezekani katu
 
Kila binadamu ana mapungufu yake na mema yake . Kwa kutetea rasilimali za umma kwa manufaa ya umma wa watanzania hayati JPM alikuwa mstari wa mbele.

Mradi wa gas ya asili huko Lindi thamani ya tril 60+ unageuka kuwa dili la wahuni wachache kujinufaisha.

Wakala wa mabeberu anatumiwa na hawa wa wahuni kujadili maslahi yao mabeberu dhidi ya taifa letu. Je tutapata maslahi yanayotufaa?
 
Tatizo lililopo hats we we unalo.

Kwa kuacha kufanya kazi na nchi za mashariki ya kati. Hatua ambazo tz inaanza kuchukua zilishafanywa na nchi kama Qatar miaka zaidi ya 30 iliyopita. Badala ya tz kutafuta kampuni zenye weledi na uzoefu na masuala hayo tunaenda kufunga ndoa na mabeberu. Wasio hats na kisima cha maji huko kwao.

Yote hii inatokana na ubaguzi.

Mathalan management za halmashauri zilizo za utamaduni kama wa waqatar hapa tz zimeshikwa na watu wa mbali. Wakati wazawa wana watoto na wajukuu zao wamesoma lkn hawana kazi.

Na hii ndio Tabia ya mfumo wa kibaguzi kote duniani. Haijalishi weledi wala uzoefu. Bali wanaamini x wana ujuzi na maarifa na y si hawana msaada wwt
 
Tatizo lililopo hats we we unalo.

Kwa kuacha kufanya kazi na nchi za mashariki ya kati. Hatua ambazo tz inaanza kuchukua zilishafanywa na nchi kama Qatar miaka zaidi ya 30 iliyopita. Badala ya tz kutafuta watu wenye uzoefu na masuala hayo tunaenda kufunga ndoa na mabeberu. Wasio hats na kisima cha maji huko kwao.

Yote hii inatokana na ubaguzi.

Mathalan management za halmashauri zilizo za utamaduni kama was waqatar hapa tz zimeshikwa na watu wa mbali. Wakati wazawa wana watoto na wajukuu zao wamesoma lkn hawana kazi
Unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom