Unadhani kazi husika ni sheria tu ?TPDC inadeal na maswala gani??
Hawana kitengo cha sheria??
Ni vigumu sana kujadili jambo na mtu mwenye interest.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kazi husika ni sheria tu ?TPDC inadeal na maswala gani??
Hawana kitengo cha sheria??
Ni vigumu sana kujadili jambo na mtu mwenye interest.
PURA ina miaka mitano tu ya uhai wake ,unajua kampuni kama start oil ina miaka mingapi kwenye biashara huskia ?Tuna taasisi inayoitwa PURA ambayo majukumu yake ni kuishauri serikali na waziri katika mambo kama haya.
Sasa kuwapa wazungu majukumu ya PURA ni kuzidhalilisha taasisi zetu wenyewe na pia ni matuzi mabaya ya rasilimali fedha na watu.
Hawajui ndio maana ilibidi watafutiee watalaaamuSi tetei ila tr 70 ni hela nyingi sana ku gamble, hao ulio wataja wana uzoefu wa maswala ya gas kiasi gani. Hao tpdc zaidi ya kununua crude oil wana jua vipi uchimbaji na usindikaji wa gas?
Ndio itazalisha wataalamu sio ?#KatibaMpya
Sasa mimi nimchukie January kwa kipi na wakati atushei chochote kwenye maisha zaidi ya umeme.Huyu jamaa mnamchukia bure tu....angalieni msijichumie dhambi.
Kwa hiyo mkisha ingia huo mkataba mna uwezo wa kuchimba? Mna mtaji wa tr 70? Ni kwamba una sema tuwa kwepe wazungu, ukweli ni kwamba hatuweziHiyo mikataba ya huko nyuma tulionyonywa haikuwa na proffessionalism?.kwenye suala la kuloot rasilimali nchi za kibeberu zipo pamoja sana.Ndio maana Mwendazake alipofanya reforms kwenye milki na uendeshaji wa haya makampuni eg.madini alipigwa vita mpaka kususiwa misaada.
Makamba mpaka hiyo wizara ni billionea.
Sasa mimi nimchukie January kwa kipi na wakati atushei chochote kwenye maisha zaidi ya umeme.
Wewe kwa akili yako timamu January akae kwenye negotiation ya dili ya trillion 80 bila kupata chochote,
kaka hatuongelei PPP tunaongelea wanasheria kuiguide serikali katika kuingia huo mkataba na kampuni za oil and Gas.Transactional lawyers. kwamba sisi hatuwezi hata hilo, mpaka tu hire foreign consultants.coz katika negotiation za mikataba wanasheria wa pande zote wanapambania rights za upande wao.Kwa hiyo mkisha ingia huo mkataba mna uwezo wa kuchimba? Mna mtaji wa tr 70? Ni kwamba una sema tuwa kwepe wazungu, ukweli ni kwamba hatuwezi
Taasisi ipo tuitumie.PURA ina miaka mitano tu ya uhai wake ,unajua kampuni kama start oil ina miaka mingapi kwenye biashara huskia ?
Issue sio kuwa na wataalam. Sometimes ruhusu ubongo ufikiri katika mawanda mapana zaidi.Ndio itazalisha wataalamu sio ?
Hii chuki binafsi husda husda na kutosikiliza na kuyaelewa mambo kisha ukachangia. Serikali inataka kuingia kwenye biashara ya gesi na haijawahi kwa sababu hizo hizo za kuhofia kuingia bila tathmini ya kina na kuingia kwa uangalifu zaidi. Inshort hiyo mialamala haijawahi kuifanya na ndipo wamemtaka mtaalamu mshauri apitie hizo bei kuanzia kuzalisha mpaka process ya mwisho na kutuonyesha mbivu na mbichi kwenye eneo la gesi. Kisha sasa serikali inapeleka team yake kuzioitia ikiwa na uelewa wa dunia ikoje kisha wanarudi tena mezani wanajadili wapite njia gani hadi kufikia nani afanye nini na alipe nini ndipo tuje na lugha MKATABA WA GESI! Mh. Makamba ataendelea kuwa the best visionary leader tu hata umpige jiwe gani!Mkuu kama hukulitarajia hili pole sana maana ofisi kuu ndiyo iliyoanza kwa kumsajiili bwa tony. Sasa unataka hizo ofisi zingine zifanyeje na wameshaambiwa urefu wa kamba zao ndiyo factor? Kwani february yeye haujui utamu wa dola na hizo pamba za guchi na wengineo anazozipenda ni nani atazigharamia kama si hiyo mikataba?
Uko na hiyo haki ya kuelewa hivyo ulivyoelewa mkuu so sitakulebal kama wewe ulivyonilebal. Muhimu Mungu atupe uzima tu ili mambo yakiwa revealed sote tuwe mashahidi.Hii chuki binafsi husda husda na kutosikiliza na kuyaelewa mambo kisha ukachangia. Serikali inataka kuingia kwenye biashara ya gesi na haijawahi kwa sababu hizo hizo za kuhofia kuingia bila tathmini ya kina na kuingia kwa uangalifu zaidi. Inshort hiyo mialamala haijawahi kuifanya na ndipo wamemtaka mtaalamu mshauri apitie hizo bei kuanzia kuzalisha mpaka process ya mwisho na kutuonyesha mbivu na mbichi kwenye eneo la gesi. Kisha sasa serikali inapeleka team yake kuzioitia ikiwa na uelewa wa dunia ikoje kisha wanarudi tena mezani wanajadili wapite njia gani hadi kufikia nani afanye nini na alipe nini ndipo tuje na lugha MKATABA WA GESI! Mh. Makamba ataendelea kuwa the best visionary leader tu hata umpige jiwe gani!
#kataawahuniKampuni ina maslahi gani kwetu hadi tutume mtu?! Funguka.
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya?
View attachment 2095378