norwich00_
New Member
- Nov 2, 2018
- 2
- 0
Habari dears, jamani inakaaje unaapply alafu unapata ujumbe kuwa ''your job application is not completed, TRA reminds you to complete'' na wakati nilisubmit please msaada iliemkuta hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetupia tatu,watanichagulia wenyewe moja huko
mchaga ana radar ya fursa, mahali ambapo watu ahwaoni wao wanaona. Is why baadhi ya watu wana chuki na hawa jamaaNa walivyojaa wachaga sasa 😹😹
Wachaga nawakubali kwa kunusa fursa na wengi wanawekana..!!
Sijui waliambiwa ni mali yao mpk wanarithishana 🤣
Kina Mangi nawakubali sana..!!mchaga ana radar ya fursa, mahali ambapo watu ahwaoni wao wanaona. Is why baadhi ya watu wana chuki na hawa jamaa
Umechanganya petrol na maziwa hapo hapo mkuu 😂Usiwapotoshe wenzako wakaja wakaliwa mpaka mikun....u, na kazi wasipate.
Mungu kwanza akiamua Kila kitu kinakuwa rahisi tu.
Certify vyeti chap, Tengeneza email mpya utume Tena, Bado sku mbili changamka.Dah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
Wewe ndio haupo sahihi, ata ukifanya application za Law school Cheti na Transcript una attach kama document moja.Mkuu unapotosha, transcript ni kwa ambao hawana vyeti (hii ni options kwa wanachuo ambao wamemaliza ila vyeti havijatoka) na pale wasingeweza kueleza sababu kwa common sense ya darasa la saba C huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili sehemu moja
Wewe huwezi kupata kazi maana hujitambui. Unaona nafasi zimetangazwa unakimbilia kuomba wakati hata tangazo hujalisoma?Dah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
Mwaka juzi watu hawakuitwa kwa sababu ya kuwa na accounts mbili mbili, wenzio walitoa ushahidi hapa hapa jukwaani.Certify vyeti chap, Tengeneza email mpya utume Tena, Bado sku mbili changamka.
Kama kuna sehemu ya kuedit,nenda kaverify vyeti kisha ondoa hivyo ambavyo haviko verified then weka ambavyo viko verified.update the changes.Dah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
Vyeti vinakua verified vyote?Kama kuna sehemu ya kuedit,nenda kaverify vyeti kisha ondoa hivyo ambavyo haviko verified then weka ambavyo viko verified.update the changes.
Verify nusu.Vyeti vinakua verified vyote?
unaweza attach tena na kuupdate changesDah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
uta edit mkuu usijali<nenda kwa wakili chap kisha ingia kwenye vyeti vyako ulipoattach afu kisha weka vyenye muhuriDah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
Account nyingine anaitengeneza Kwa jina tofauti kabisa sio lile lile afu anaitumia kutumia maombi, then atakuja hapa kunishukuru.Mwaka juzi watu hawakuitwa kwa sababu ya kuwa na accounts mbili mbili, wenzio walitoa ushahidi hapa hapa jukwaani.
So usimpotoshe mwenzio.