Makala pia anaonekana ana siasa za chuki ndo maana hata kwenye tamasha la Diamond alianza kuleta zake maneno ya kisiasa!Hii issue kafanya Amos Makala...
Ni mtu wa siasa chafu za kulipiza kisasi baada ya bwana mmoja kuweka bango la OKOA BANDARI katika bar hiyo