Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Nani kawafungia sasa?....hii nchi ina vituko kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kawafungia sasa?....hii nchi ina vituko kweli kweli
Na hii inaonyesha viongozi wana upeo mdogo sanaNchi inapita kipindu kigumu sana hii.
Techical tupo kwenye era ya mwendazake ccm wakizidiwa lazima waturudi kwenye ile legacy ya mwendazakeRasmi tumerudi kwenye Setting ya enzi za Mwendazake na dalili zinavyoonyesha tutapita matukio ya mwendazake ni swala la mda.
Kipindu 😂😂Nchi inapita kipindu kigumu sana hii.
Shida imeanzia hapaTRA wametoa tamko mda mfupi uliopita kwamba hawausiki na ufungaji wa bar ya the cask na hii itakua ni baada ya wamiliki wa bar kwenda TRA
Hii pia inaonyesha rangi halisi ya waafrika walio wengi kukomoana, na pia upeo mdogo sana wa mkurugenzi alisahau kwamba wenye baa lazima wataenda TRA kwa maelezo zaidi, na madhara ya kuwaajiri makada kwenye kazi muhimu kama hizi za ukurugenzi
Waangalie asije akaichoma motoHii issue kafanya Amos Makala...
Ni mtu wa siasa chafu za kulipiza kisasi baada ya bwana mmoja kuweka bango la OKOA BANDARI katika bar hiyo
Mbona hii habari imetrend sana tokea jana we ulikua wapiHiyo CASK bar inamilikiwa na nani? Iko wapi? Taarifa hazijitoshelezi
Chezea DP world weye!!TRA wametoa tamko mda mfupi uliopita kwamba hawausiki na ufungaji wa bar ya the cask na hii itakua ni baada ya wamiliki wa bar kwenda TRA
Hii pia inaonyesha rangi halisi ya waafrika walio wengi kukomoana, na pia upeo mdogo sana wa mkurugenzi alisahau kwamba wenye baa lazima wataenda TRA kwa maelezo zaidi, na madhara ya kuwaajiri makada kwenye kazi muhimu kama hizi za ukurugenzi
View attachment 2719782
Tatizo ni mfumo tu!!Nchi ya Matamko na maamuzi ya watu binafsi bila kufuata sheria inasemaje....
Hivi Sheria hazijulikani ? Kwanini zisifuate mkondo wake na sio kwa huyu tu bali kwa wote ili kuwe na level playing field sio mwingine analipa mwingine halipi; mwingine anasamehewa mwingine wala hasumbuliwi...