TRA: Hatuhusiki kwa namna yoyote ufungaji wa 'The Cask Bar' jijini Mwanza

Ccm ina roho ya kishetani , yaani unamtia njaa mtanzania mwenzako , kisa mwarabu hata hakujui aje apige hela tz, akizipata huyo kwao.

Kwenye majanga yetu . Utasikia viongozi wa ccm ...eti kuweni WAZALENDO wa nchi
 
Waliofunga ni Halmashauri ya Jiji.

Kutetea swala la Bandari. Upuuzi mtupu.

Kuokoa bandari ina tafsiri pana. Kuleta uwekezaji na hivyo kupanua wigo wa wateja ni namna moja ya kuokoa bandari.

Kuacha bandari ibaki patupu bila ya shehena za mizigo ni kuiua bandari yetu.

Akili finyu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…