TRA: Hatuhusiki kwa namna yoyote ufungaji wa 'The Cask Bar' jijini Mwanza

... lakini Taarifa zilizopo ni kwamba wamefungiwa kwa kutokulipa kodi ninyi kama TRA na CASK akiwa kama mteja wenu mmechukua hatua gani zaidi ya kukanusha hamuhusiki ?
Ufafanuzi utaupata Lumumba.
 
Haya nakuja Mwanza mwisho wa mwezi tukafanye Research kuanzia Malaika, Cask, Bundesliga, Gold Crest, Taiwan, The Breeze, City Link, DV 8, Mwanza City...e.t.c wapi wanavibe
poa karibu mkuu.. mademu hupendi ?
 
Ile bar ni kubwa sio rahis kukosa hivyo vitu
Ni sawa qnaweza kuwa navyo...
Je ana'renew? Au alivyopewa tu akavibandika akasahau kufanya renewal....

Nimewahi kushuhudia Taasisi kubwa tu imelipishwa fine na BRELA sababu Business licence ime'expire zaidi ya miaka mitatu..

Haya mambo yanatokea Mkuu..
 
It's about time for him to be thrown out once and for all !!
 
Basi wakipeleka kesi mahamakamani wanashinda na fidia wanalipwa mawakili mbona kama mchongo huu apa sema huko Nako pia Mambuzi wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…