Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Nadhani hii ni michezo ya kutuibia kupitia Riba za ajabu, tunakopeshwa pesa zetu wenyewe halafu tunalipishwa riba 40% kupitia mikataba ya siri ya kishenzyTRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Umeniwahi au wanapika data Hangaya asionekana kashindwa kukusanya Kodi.TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Makusanyo yanaenda kulipa madeni ya Bwana yule aliyokopa Commercial BanksTRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
We jamaa una akiliItoe tilioni 2 iwape ruzuku viwanda vya matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei tuzalishe Sana tuuze nje
Wazo zuri tatizo hatuna kiongozi wa kuyafanyia kazi mawazo chanya kama haya...Itoe tilioni 2 iwape ruzuku viwanda vya matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei tuzalishe Sana tuuze tupate mapato kupitia export tuwe na mapesa tele ya kufanya maendeleo bila kukopa.
Haaaaa, baadae Tena mje mtuambie zilikuwa za mkopo.
ππππππππππKwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA, mamlaka hiyo imevunja Rekodi ya kukusanya Kodi kiasi cha Shilingi Trilioni 2.51 kwa Mwezi Desemba 2021 ikiwa ni kiwango cha juu kabisa kukusanywa katika Mwezi tangia kuanzishwa kwake. Katika kipindi cha Desemba 2020, TRA ilikusanya pungufu ya kiasi hicho kwa asilimia 20. Aidha Makusanyo kwa miezi 6 iliyopita ni Shililingi Trilioni 11.11 ikilinganishwa na Trilioni 9.24 zilizokusanywa kwa kipindi kama hicho mwaka 2020.
Pongezi kwa Mhe. Samia, pongezi kwa Kamishna Kidata kwa kutokusanya kodi ya dhulma lakini matokeo yanaonekana. Watanzania lipeni Kodi kwa hiari mjenge nchi yenu.
Kazi Iendelee.
cc: Suzy Elias
Hawa jamaa ni waongo sanaTRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?