KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kulikuwa hakuna ulazima wa kukopa...una assessment gani ama taarifa gani ku'prove hilo?.Mapovu ni muhimu pale serikali isipofanys vizuri...ikifanya vizuri ni muhimu pia kuipongeza...narudia kulikuwa hakuna ulaxima kuchukua mkopo huo wa IMF...hakuna upotoshaji hapa...hatuko hapa kusifu Kila kitu...sisi ni watu waelewa....
Tunajipanga kijeshi wewe subiri tu mama saa 100 mbovu anajitia pini yeye mwenyewe kwanza kwa habari ya chini ya kapeti mama kachoka kakata tamaa hata hii miaka 4 iliyo baki anaiona mingi hivyo sidhani kama atathubutu kutaka kuongoza tena[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] Samia anawa outshine kila kitu nyie akina Sukuma gang mliokanwa na Diallo..
Rudini kwenu Burundi na Rwanda.
Stori zenu za kujitia matumaini,mnaopiga Sana majungu na fitina lakini mtu kakomaaTunajipanga kijeshi wewe subiri tu mama saa 100 mbovu anajitia pini yeye mwenyewe kwanza kwa habari ya chini ya kapeti mama kachoka kakata tamaa hata hii miaka 4 iliyo baki anaiona mingi hivyo sidhani kama atathubutu kutaka kuongoza tena
Tulipe tuliyoingizwa mkenge tayari, halafu tuache kukopa, tuone kama tutakufa njaaUnasitishaje mkopo na ushasaini mikataba na pesa umepewa?
Labda useme ifanyiwe restructuring kuboresha masharti
Mbona tunaona za ndani ni nyingi kuliko za nje mnakopa kwanini?Nchi inaendeshwa kwa fedha za ndani na fedha za nje
Muwe na taarifa basi kabla ya kupiga kelele
Tuache kufanya miradi ya kimkakati?Tulipe tuliyoingizwa mkenge tayari, halafu tuache kukopa, tuone kama tutakufa njaa
Kukopa in simple terms kunakupa hela nyingi kwa mkupuo unaweza maliza jambo lako paap ukaachana nalo wananchi wanafaidi huduma nzuri huku unalilipia mdogo mdogoMbona tunaona za ndani ni nyingi kuliko za nje mnakopa kwanini?
Bado hawakusanyi kodi kabisa ukijua huku mtaani janja zinazofanyika serikali inauwezo wa kukusanya kodi hiyo unayosemaBado ni ndogo sana.
Kodi ikikusanywa kiufasaha bila janja janja na rushwa, kwa mwezi trillion 5 zinakusanyika.
Kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi na janja janja.
Unakuta mtu ana turnover ya 200m annually ila TRA mashine inasoma 45m au 30m. Na hii ni biashara moja sasa piga mahesabu maelfu ya biashara yanayofanya ujanja.
Huo ni utaratibu wa nchi nyingi tu duniani hata zile zilizoendelea like US, Japan, UK nk. So, sio sababu ya kutoendelea. Sababu za kutoendelea ni kutozingatia mfumo mzuri na umuhimu wa elimu, period.Ndiyo maana hatuna maendeleo ya maana kwa kuwa tunatumia mazoea bila akili
Kama mnakusanya hivyo mbona mnakopa kupindukia?
Katika dollar bilioni 3 alizokopa mama hakuna hata senti imeenda kwenye mpango mkakati, zote zimeenda kwenye madawati, madarasa, na zingine kapeleka Zanzibar..., bila kusahau, kuna tozo ya miamala around 100bn kwa mwezi tunakatwa kwa ajili ya madarassa, madawati na Zahanati, bila kusahau, kakopa pesa za Covid19, trillion mbili nazo ni kwa ajili ya madarasa na madawati. Hili itabidi liondoke na mtu, haiwezekani!Tuache kufanya miradi ya kimkakati?
Mfano ya umeme,usafiri,maji nk
Tatizo unafikia conclusion on a myopic viewKatika dollar bilioni 3 alizokopa mama hakuna hata senti imeenda kwenye mpango mkakati, zote zimeenda kwenye madawati, madarasa, na zingine kapeleka Zanzibar..., bila kusahau, kuna tozo ya miamala around 100bn kwa mwezi tunakatwa kwa ajili ya madarassa, madawati na Zahanati, bila kusahau, kakopa pesa za Covid19, trillion mbili nazo ni kwa ajili ya madarasa na madawati. Hili itabidi liondoke na mtu, haiwezekani!
Kakopeni tenaMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
View attachment 2065326View attachment 2065327
Lakini mitambo tunayo test unaiona au uoni juzi tulimtumia ndugai kutest bado waziri mkuu kutest mitamboStori zenu za kujitia matumaini,mnaopiga Sana majungu na fitina lakini mtu kakomaa
Imetokana na manunuzi ya ujenzi na miradi ya mashule naamini ikiisha hiyo na makusanyo yatashuka. Ni mkopo unzunguka huoUkweli ni kwamba mwamko wa watu kulipa kodi umepungua, kwa sasa mambo ya EFD wafanyabiashara hawaogopi tena tofauti na miezi michache imepita. Hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanatoka wapi?
Ni sawa na kusema rushwa imepungua wakati imeongezeka mara dufu. Polisi (hasa wale wa barabarani) siku hizi wanaomba rushwa waziwazi bila kificho, na kwangu mimi hawa jamaa ndiyo kipimo cha rushwa inchini.