TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Mapovu ni muhimu pale serikali isipofanys vizuri...ikifanya vizuri ni muhimu pia kuipongeza...narudia kulikuwa hakuna ulaxima kuchukua mkopo huo wa IMF...hakuna upotoshaji hapa...hatuko hapa kusifu Kila kitu...sisi ni watu waelewa....
Kulikuwa hakuna ulazima wa kukopa...una assessment gani ama taarifa gani ku'prove hilo?.
 
[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] Samia anawa outshine kila kitu nyie akina Sukuma gang mliokanwa na Diallo..

Rudini kwenu Burundi na Rwanda.
Tunajipanga kijeshi wewe subiri tu mama saa 100 mbovu anajitia pini yeye mwenyewe kwanza kwa habari ya chini ya kapeti mama kachoka kakata tamaa hata hii miaka 4 iliyo baki anaiona mingi hivyo sidhani kama atathubutu kutaka kuongoza tena
 
Stori zenu za kujitia matumaini,mnaopiga Sana majungu na fitina lakini mtu kakomaa
 
Mbona tunaona za ndani ni nyingi kuliko za nje mnakopa kwanini?
Kukopa in simple terms kunakupa hela nyingi kwa mkupuo unaweza maliza jambo lako paap ukaachana nalo wananchi wanafaidi huduma nzuri huku unalilipia mdogo mdogo

Mfano madarasa ya shule ya Mama haya ya juzi

Ungedunduliza usingemaliza haraka na kwa ufanisi nk..

Pia miradi sio hela ndogo..cost zinatisha
 
Trilioni 11 maana yake kila mwananchi analipa kodi kiasi cha 180k
 
Bado ni ndogo sana.
Kodi ikikusanywa kiufasaha bila janja janja na rushwa, kwa mwezi trillion 5 zinakusanyika.
Kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi na janja janja.
Unakuta mtu ana turnover ya 200m annually ila TRA mashine inasoma 45m au 30m. Na hii ni biashara moja sasa piga mahesabu maelfu ya biashara yanayofanya ujanja.
Bado hawakusanyi kodi kabisa ukijua huku mtaani janja zinazofanyika serikali inauwezo wa kukusanya kodi hiyo unayosema
 
Ninaomba mungu mwaka 2024 ifike CCM tuanza kampeni za Urais. Maza haeleweki na mikoani hafiki kusikiliza kero za wananchi. Songea hapajui amapasikia tu
 
Ndiyo maana hatuna maendeleo ya maana kwa kuwa tunatumia mazoea bila akili
Huo ni utaratibu wa nchi nyingi tu duniani hata zile zilizoendelea like US, Japan, UK nk. So, sio sababu ya kutoendelea. Sababu za kutoendelea ni kutozingatia mfumo mzuri na umuhimu wa elimu, period.
 
Hapo wametuachia wenyewe tujipigie hesabu mwa mwezi wamekusanya ngapi.
 
Tuache kufanya miradi ya kimkakati?
Mfano ya umeme,usafiri,maji nk
Katika dollar bilioni 3 alizokopa mama hakuna hata senti imeenda kwenye mpango mkakati, zote zimeenda kwenye madawati, madarasa, na zingine kapeleka Zanzibar..., bila kusahau, kuna tozo ya miamala around 100bn kwa mwezi tunakatwa kwa ajili ya madarassa, madawati na Zahanati, bila kusahau, kakopa pesa za Covid19, trillion mbili nazo ni kwa ajili ya madarasa na madawati. Hili itabidi liondoke na mtu, haiwezekani!
 
Tatizo unafikia conclusion on a myopic view

FYI haondoki mtu
And we can all have a goodnight today
 
Ukweli ni kwamba mwamko wa watu kulipa kodi umepungua, kwa sasa mambo ya EFD wafanyabiashara hawaogopi tena tofauti na miezi michache imepita. Hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanatoka wapi?

Ni sawa na kusema rushwa imepungua wakati imeongezeka mara dufu. Polisi (hasa wale wa barabarani) siku hizi wanaomba rushwa waziwazi bila kificho, na kwangu mimi hawa jamaa ndiyo kipimo cha rushwa inchini.
Imetokana na manunuzi ya ujenzi na miradi ya mashule naamini ikiisha hiyo na makusanyo yatashuka. Ni mkopo unzunguka huo
 
Back
Top Bottom