TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Nadhani hii ni michezo ya kutuibia kupitia Riba za ajabu, tunakopeshwa pesa zetu wenyewe halafu tunalipishwa riba 40% kupitia mikataba ya siri ya kishenzy
Wanaoibiwa ni akina nani? Na wanaoiba ni Akina nani?
 
Habari mbaya sana hii Kwa waburundi a.k. a Sukuma Gang a.k.a Washamba F.c

Mafanikio ya Samia yanazidi kuwapa ugonjwa wa moyo😂😂😂
===
Tangu Uhuru wa Taifa hili la Tanzania hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi|mapato tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,

Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya Sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile Presumptive Tax Accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

View attachment 2065695
 
Kwani pesa za TRA ni za kwao au zinaenda hazina na kupangiwa matumizi, ikiwemo madarasa na madawati kama wanavyodai wanakopea?
Kila source ina mpangilio fulani wa matumizi ,vyote vinaonekana kwenye mchanganuo wa matumizi wakati wa bajeti na Kuna wakusanyaji tofauti wakiongizwa na TRA, taasisi mbalimbali, Halmashauri,nk kama inavyoonekana hapa 👇

Screenshot_20220102-082208.png
 
Sio kweli mkuu deni linapungua sema shida kubwa ni mikopo yenye masharti ya kibiashara ambayo ni 40% ya deni lote.

Nadhani hapo serikali itapunguza au kuacha Kukopa kabisa mikopo ya kibiashara na hiyo ilikopwa zaidi na Mwendazake ndio imeiva mapema na kukuza deni kwa zaidi ya til.10 ..

Deni la serikali kwa sasa ni til 82 but wakilipa litarudi kwenye til.70 hivi..Kiujumla mama kakopa til.10 kama walivyopanga kweybajeti sasa plus riba ndio ikafika til.82 but watalipa hiyo 10 litabaki kwenye 70..

Swala kubwa hapa ni Serikali haikusanyi mapato kwa kiwango kinachotakiwa,watu hawalipi Kodi.Tunaweza kukusanya til.30 kutoka TRA tuu na sio til 22 wanayo project
kama kila mtu akilipa Kodi na tukalipa hata til.15 au zaidi
Wewe ni Nani unayetoa maelezo haya? Una mamlaka gani?! Thibitisha hoja zako hapa....siyo unaropokaropoka tu as if wewe ni waziri wa fedha au gavana mkuu wa benki...
 
Daaah!


Am speechless,

Hii rekodi ya kodi ya mwezi haijawahi kufikiwa tangu Uhuru hata mwendazake na kunyang'anya watu pesa hakuwahi kuifikia rekodi hii,


Hongera sana Mama Samia, Kaziiendelee
Heshima yako Mkuu wangu, Asante kwa Comments zako humu
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.

Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
View attachment 2065326View attachment 2065327
Mama ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Bora Mungu alituondolea yule jamaaa
 
Dah....ajabu sana....binafsi nilikuwa nachangia Kodi serikalini 15,000 Hadi 20,000 kila mwezi....Ila Disemba hii nimechangia 750 tu....wote tunapenda raha.....mnisamehe tu,🤭
Tunakuja na utaratibu wa kuwasaka wakwepa Kodi wote,subiria reading ya kikao kijacho cha bajeti kuanzia april
 
Inaonyesha kuwa wewe ni samurai wa ujinga.Demokrasia siyo kudra ya mtu wala mapenzi ya mtu bali ni haki yangu ya kikatiba.

Nina haki ya kufurahia haki zangu za kikatiba.

Wewe unaona kuwa kufurahia haki zako za kikatiba ni mapenzi ya Rais aliopo madarakani kwa sababu wewe ni samurai wa ujinga.

Halafu wewe unawakilisha akili za Watanzania walio wengi ndiyo maana ndani ya miaka sitini ya uhuru bado tunahangaika na vitu vidogo sana kama vile matundu ya vyoo katika shule zetu,umeme,maji na kadhalika.

Mbona unajistukia na kuongea maneni meengi..

Wewe umemuita Rais mbumbumbu, kwa maana wewe sio mbumbumbu, me nimekupa hongera tu mkuu wewe usiye mjinga kama Samurai na Mbumbumbu kama Rais..

Nakupongeza pia kwa kuenyoy matunda ya demokrasia, wewe huoni kama hiyo ni demokrasia mpaka unamuita Rais mbumbumbu..
 
Hakuna kipindi TRA wanakosa mapato kama kipindi hiki.

Ukinunuwa kitu cha gharama kwa 1milioni.
Unapewa risiti ya laki 4 hayo mapato yatafikaje kiasi hicho.?

RIP Magufuli.
 
Mama ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Bora Mungu alituondolea yule jamaaa
Kwa mara ya kwanza naona bajeti ya serikali inakwenda kutekelezwa kwa zaidi ya 90% kama ilivyopangwa..(Til.36.5)

Hii chart hapa chini inaonyesha makisio ya Kodi kutoka TRA na mpaka sasa wamefikia 98% ,baada ya nusu mwaka.

Mikopo yote waliyopanga wamepata na wahisani wametoa pesa.January hii tunasubiria Ummy atoe mrejesho wa makusanyo ya nusu mwaka kutoka Halmashauri..

Vyanzo vingine kama taasisi za madini nk tutajua mwezi wa 4 kwenye bajeti..

Hongera nyingi Sana kwa Hangaya

Screenshot_20220102-082208.png
 
Umeniwahi au wanapika data Hangaya asionekana kashindwa kukusanya Kodi.
HUNA AKILI KICHWANI. MFUMO WA TRA UKO WAZI NA UNAONESHA JINSI MAPATO YANAVYOKUSANYWA KWA KILA MKOA NA KILA AINA YA KODI ILIYOLIPWA. Mfano Withholding taxes, stamp duty, bed night, CIT, PIT nk. Ukimuuliza ndugu au Rafiki aliyeko TRA mkoa wowote atakuambia hiko kiwango maana kinaonekana wazi na kila mkoa inaonekana wamekusanya kiasi gani.
 
Back
Top Bottom