TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,

Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

View attachment 2065695

View attachment 2065697
Sukuma gang watabisha ,hapa mama anaupiga mwngi na hanyanganyi wafanyabiashara pesa
 
mwezi December matumizi ni makubwa mno.sitashangaa mwezi january tukapata nusu yake tu
 
Rais mbumbumbu😁😁😁
 
Mpwa, nalazimika kuamini kuwa akili zako hazina akili! Let's close this chapter! Una argue ujinga, kama hakuna time limit ya kufanya hivyo basi Wacha tuendelee kuamini dollar bilion 6 Hadi hapo watakapopata huo muda unaosema.....

ni kweli akili zangu hazina akili hizo ulizonazo..

Tusheherekee mwaka mpya....
 
Makato ya miamala ya simu kwa ajili ya tozo ya kizalendo kwa mwezi wa 7 kwenda wa 8 Mwigulu alitangaza tumekusanya around 50 billion shillings, achilia mbali 80billion kwa wastani zinazokusanywa kwa mwezi kama makato na kodi ya kawaida ya kwenye simu, jumla jin130bn, hivyo kwa wastani ni 100bn. Bishana na data.
Huoni kwamba hadi mwisho wa mwaka yaani Juni mapato hayatazidi bil.500? .

Pili hayo mengine ni VAT inaenda TRA moja kwa moja,kwa hiyo hoja yako ni ya ukakasi..
 
Inflation ya 3.5% utaipata wapi kama sio Tanzania pekee kwa sasa?

Nimecheka kwa nguvu kinoma. Shikilia hapohapo, sisi tuko hapa kuwapeleka mchakamchaka ili msichukue posho za bure huko kwenye praise team. Mwambie mama Tindo wa jf anamsalimia.
 
Mwambie Ndugai kwamba anabuni, maana yeye hiyo mikataba kaiona, na anakwambia “tunalipa trillion 10 kwa mwaka, mariba matupu”.
Ni kweli tunalipa hiyo riba kwa madeni ya serikali zilizopita yaliyoiva.

Sasa ukisema usikope utapata wapi pesa za kukamilisha miradi kwa haraka na wakati kama utataka kudunduliza kwenye makusanyo?..

Hiyo Dom anayoiona ndugaye ikiwemo soko la jina lake ni mikopo tupu ,bila mikopo angeondoka madarakani halijakamilika.
 
Huoni kwamba hadi mwisho wa mwaka yaani Juni mapato hayatazidi bil.500? .

Pili hayo mengine ni VAT inaenda TRA moja kwa moja,kwa hiyo hoja yako ni ya ukakasi..
Kwani pesa za TRA ni za kwao au zinaenda hazina na kupangiwa matumizi, ikiwemo madarasa na madawati kama wanavyodai wanakopea?
 
Dah....ajabu sana....binafsi nilikuwa nachangia Kodi serikalini 15,000 Hadi 20,000 kila mwezi....Ila Disemba hii nimechangia 750 tu....wote tunapenda raha.....mnisamehe tu,🤭
 
Ni kweli tunalipa hiyo riba kwa madeni ya serikali zilizopita yaliyoiva.

Sasa ukisema usikope utapata wapi pesa za kukamilisha miradi kwa haraka na wakati kama utataka kudunduliza kwenye makusanyo?..

Hiyo Dom anayoiona ndugaye ikiwemo soko la jina lake ni mikopo tupu ,bila mikopo angeondoka madarakani halijakamilika.
Ndio tunakopeshwa pesa zile zile tulizolipa, na riba wanaweka siri, maana ni kubwa na za kishenzy, halafu tunatakiwa tuilipe mikopo pamoja na riba kubwa mno, mwisho wa siku ni kama hatulipi madeni, deni la taifa linabaki pale pale kama si kukua, ila tunacholipa kila mwaka ni “Mariba matupu” , ni kama bodi ya mikopo ilivyotaka kuweka 6% retention fee, yaani mtu unalipa deni lakini badala yake linakua badala ya kupungua. Rais atambue juu ya uhuni huu na achukue hatua.
 
Hongera wewe usiye mbumbumbu...

Unaenjoy matunda ya demokrasia tu..
Inaonyesha kuwa wewe ni samurai wa ujinga.Demokrasia siyo kudra ya mtu wala mapenzi ya mtu bali ni haki yangu ya kikatiba.

Nina haki ya kufurahia haki zangu za kikatiba.

Wewe unaona kuwa kufurahia haki zako za kikatiba ni mapenzi ya Rais aliopo madarakani kwa sababu wewe ni samurai wa ujinga.

Halafu wewe unawakilisha akili za Watanzania walio wengi ndiyo maana ndani ya miaka sitini ya uhuru bado tunahangaika na vitu vidogo sana kama vile matundu ya vyoo katika shule zetu,umeme,maji na kadhalika.
 
Ndio tunakopeshwa pesa zile zile tulizolipa, na riba wanaweka siri, maana ni kubwa na za kishenzy, halafu tunatakiwa tuilipe mikopo pamoja na riba kubwa mno, mwisho wa siku ni kama hatulipi madeni, deni la taifa linabaki pale pale kama si kukua, ila tunacholipa kila mwaka ni “Mariba matupu” , na kama bodi ya mikopo ilivyotala kuweka 6% retention fee, yaani mtu unalipa deni lakini badala yake linakua badala ya kupungua. Rais atambue juu ya uhuni huu na achukue hatua.
Sio kweli mkuu deni linapungua sema shida kubwa ni mikopo yenye masharti ya kibiashara ambayo ni 40% ya deni lote.

Nadhani hapo serikali itapunguza au kuacha Kukopa kabisa mikopo ya kibiashara na hiyo ilikopwa zaidi na Mwendazake ndio imeiva mapema na kukuza deni kwa zaidi ya til.10 ..

Deni la serikali kwa sasa ni til 82 but wakilipa litarudi kwenye til.70 hivi..Kiujumla mama kakopa til.10 kama walivyopanga kweybajeti sasa plus riba ndio ikafika til.82 but watalipa hiyo 10 litabaki kwenye 70..

Swala kubwa hapa ni Serikali haikusanyi mapato kwa kiwango kinachotakiwa,watu hawalipi Kodi.Tunaweza kukusanya til.30 kutoka TRA tuu na sio til 22 wanayo project
kama kila mtu akilipa Kodi na tukalipa hata til.15 au zaidi
 
uporaji wa uchaguzi una mikono ya dip state maana magenge ya wahuni yanayojifanya vyama vya siasa yasipate nafasi ya kujiona yananguvu...

fanyeni transition kutoka magenge ya wahuni na kwenda vyama vya siasa...vyama vya siasa vilivyo well organized na vyenye watu makini + mipango imara....jamii itawaamini na hata dip state itawalinda....

Tungekuwa na hiyo dipstate hii nchi isingekuwa shamba la bibi kama ilivyo. Umetaja hiyo dipstate kama sehemu ya zile porojo za vijiweni. Sisi tunaaminiwa na jamii na ndio maana inabidi kura zetu ziporwe na hiyo dip state. Kwa taarifa yako hiyo dip state ni kundi la kihalifu lililopo ili kulinda ulaji na maslahi ya waliokuwa madarakani.

CCM iko madarakani muda mrefu na bado nchi hii ni maskini, kwanini hiyo dipstate isiifanye hiyo CCM kuwa bora? Wananchi wamepoteza imani na sanduku la kura, hiyo dipstate imebaki kulazimisha utawala outdated. Au hao dipstate ndio wamepitwa na wakati, ama bado wanafanya kazi kwa maelekezo ya kizee? Kuna uwezekano hiyo dipstate ilianza kazi kipindi cha Magu, huko nyuma ushindi wa CCM ulipokuwa ukizidi kupungua haikuwepo? Ni hivi, CCM sio chama cha kizazi hiki, hivyo hao dipstate wanapaswa waujue ukweli huo, kuwa kila jambo lina wakati wake na sio utashi wa dipstate.
 
Back
Top Bottom