TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Na sababu hasa ilikuwa ni kukurupuka ili kumfunika Lisu.

kwahiyo Rais wa nchi aache kuhutubia watu wake eti kwasababu ya Lissu.... Rais kuhutubia au kutoa salamu za Mwaka mpya mbona ni utaratibu wa kawaida tu....kwa hiyo alikuwa anashindana na Lissu.
 
msipotangaziwa mnataka mtangaziwe...mkitangaziwa mnasema uongo...Jema lipi sasa?

Kwa taarifa yako, watangaze wasitangaze tunajua kuna upikaji mkubwa wa data. Wala mimi sina popote ninapotaka watangaze maana najua ni uongo tu.
 
kwahiyo Rais wa nchi aache kuhutubia watu wake eti kwasababu ya Lissu.... Rais kuhutubia au kutoa salamu za Mwaka mpya mbona ni utaratibu wa kawaida tu....kwa hiyo alikuwa anashindana na Lissu.
Mjinga ni Lissu anayejifanya nayeye ni Rais wa nchi, Pbafu kabisa
 
Kwa taarifa yako, watangaze wasitangaze tunajua kuna upikaji mkubwa wa data. Wala mimi sina popote ninapotaka watangaze maana najua ni uongo tu.
CHADOMO mmekosa agenda kabisa
 
kwahiyo Rais wa nchi aache kuhutubia watu wake eti kwasababu ya Lissu.... Rais kuhutubia au kutoa salamu za Mwaka mpya mbona ni utaratibu wa kawaida tu....kwa hiyo alikuwa anashindana na Lissu.

Rejea kusema kuna akiba ya $6,000b+, hapo ndio mjadala. Kuhutubia anaruhusiwa hata kila siku, maana ndio utaratibu toka Magufuli alipoingia madarakani. Hata akitaka awe mtangazaji kabisa ni ruksa.
 
Kwa taarifa yako, watangaze wasitangaze tunajua kuna upikaji mkubwa wa data. Wala mimi sina popote ninapotaka watangaze maana najua ni uongo tu.

Tupe ukweli basi supported with data..
 
Rejea kusema kuna akiba ya $6,000b+, hapo ndio mjadala. Kuhutubia anaruhusiwa hata kila siku, maana ndio utaratibu toka Magufuli alipoingia madarakani. Hata akitaka awe mtangazaji kabisa ni ruksa.

Unafikiria alikusudia kusema hivyo au ni makosa ya kiuandishi kwenye hutuba...?
 
===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,

Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

View attachment 2065695

View attachment 2065697
Tulipe madeni sasa na petrol ishuke bei
 
Unafikiria alikusudia kusema hivyo au ni makosa ya kiuandishi kwenye hutuba...?

Hotuba iliyohakikiwa? Mmmhhh, kuna uongo mwingi sana huwa unasemwa, kiasi tunashindwa kujua ipi ni kukosea na upi ni uongo. Rejea ujenzi ni wa fedha za ndani, leo hii ukweli uko wazi kubwa ilikuwa mikopo. Sababu hasa ya uongo wa serikali ni kuhadaa umma kuwa mambo ni mazuri.
 
dah, hizi aina ya siasa zetu...balaa...endelea kusheherekea mwaka mpya bosi....

Kabisa kaka ndio siasa zetu zilipofikia, hela za umma zikitolewa unaambiwa ni pesa za rais, ila deni sio la rais ni la taifa! Hapo imekaaje kwa upande wako?
 
===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,

Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

View attachment 2065695

View attachment 2065697
Suala muhimu si kuvunja rekodi bali ni kwa namna gani kodi hizo zitatumika kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. Kumbuka ndani ya makusanyo haya yapo pia yale yatokanayo na tozo ambayo matumizi yake yalianishwa katika kipindi ambacho tozo zilipitishwa na Bunge.

Shule nyingi zinatarajiwa kufunguliwa katikati ya mwezi huu wa Januari. Tufanye thathmini, Je! Ni madarasa na maabara ngapi zimejengwa, pia madawati mangapi yamenunuliwa kutokana na makusanyo ya tozo hizo?

Hapo tusichanganye kabisa suala la mkopo uliochukuliwa hivi karibuni na fedha zake kutengwa katika mipango ya ujenzi au manunuzi ya vifaa elimu.
 
Kama ni kweli hili ni jambo la kufurahia.
Chifu alisema miradi mikubwa yote haitagusa makusanyo ya ndani.

Ngoja tusubiri kwny matokeo ya hayo makusanyo.

kwa haya makusanyo kwann tusipunguze utegemezi wa nje.
mbona hizi fedha ni nyingi sana tukidhibiti matumizi.

Juhudi kubwa zielekezwe haraka ku-mantain hii volume ya makusanyo..

Tukifanikiwa hilo, manake makusanyo ya ndani yata-cover budget kwa asimilia zaidi ya 75 bila shaka
 
Back
Top Bottom