Sukuma gang watabisha ,hapa mama anaupiga mwngi na hanyanganyi wafanyabiashara pesa===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,
Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2065695
View attachment 2065697