TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Nadhani hii ni michezo ya kutuibia kupitia Riba za ajabu, tunakopeshwa pesa zetu wenyewe halafu tunalipishwa riba 40% kupitia mikataba ya siri ya kishenzy
Wanaoibiwa ni akina nani? Na wanaoiba ni Akina nani?
 
Habari mbaya sana hii Kwa waburundi a.k. a Sukuma Gang a.k.a Washamba F.c

Mafanikio ya Samia yanazidi kuwapa ugonjwa wa moyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani pesa za TRA ni za kwao au zinaenda hazina na kupangiwa matumizi, ikiwemo madarasa na madawati kama wanavyodai wanakopea?
Kila source ina mpangilio fulani wa matumizi ,vyote vinaonekana kwenye mchanganuo wa matumizi wakati wa bajeti na Kuna wakusanyaji tofauti wakiongizwa na TRA, taasisi mbalimbali, Halmashauri,nk kama inavyoonekana hapa πŸ‘‡

 
Wewe ni Nani unayetoa maelezo haya? Una mamlaka gani?! Thibitisha hoja zako hapa....siyo unaropokaropoka tu as if wewe ni waziri wa fedha au gavana mkuu wa benki...
 
Daaah!


Am speechless,

Hii rekodi ya kodi ya mwezi haijawahi kufikiwa tangu Uhuru hata mwendazake na kunyang'anya watu pesa hakuwahi kuifikia rekodi hii,


Hongera sana Mama Samia, Kaziiendelee
Heshima yako Mkuu wangu, Asante kwa Comments zako humu
 
Mama ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Bora Mungu alituondolea yule jamaaa
 
Dah....ajabu sana....binafsi nilikuwa nachangia Kodi serikalini 15,000 Hadi 20,000 kila mwezi....Ila Disemba hii nimechangia 750 tu....wote tunapenda raha.....mnisamehe tu,🀭
Tunakuja na utaratibu wa kuwasaka wakwepa Kodi wote,subiria reading ya kikao kijacho cha bajeti kuanzia april
 
Utakonda sana kwa sonono mwaka huu! Na bado lazima urudi kwenu Burundi mpuuzi wewe!

Hiyo ndo Samia, Rais halali wa JMT. Si kwa Bunduki wala vitisho anazidi kuvunja rekodi na kuwaziba midomo waburundi nyie!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Unafikiri kwa nini leo wameamua kutoa huo waraka?!

Jiongeze.
 

Mbona unajistukia na kuongea maneni meengi..

Wewe umemuita Rais mbumbumbu, kwa maana wewe sio mbumbumbu, me nimekupa hongera tu mkuu wewe usiye mjinga kama Samurai na Mbumbumbu kama Rais..

Nakupongeza pia kwa kuenyoy matunda ya demokrasia, wewe huoni kama hiyo ni demokrasia mpaka unamuita Rais mbumbumbu..
 
Hakuna kipindi TRA wanakosa mapato kama kipindi hiki.

Ukinunuwa kitu cha gharama kwa 1milioni.
Unapewa risiti ya laki 4 hayo mapato yatafikaje kiasi hicho.?

RIP Magufuli.
 
Mama ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Bora Mungu alituondolea yule jamaaa
Kwa mara ya kwanza naona bajeti ya serikali inakwenda kutekelezwa kwa zaidi ya 90% kama ilivyopangwa..(Til.36.5)

Hii chart hapa chini inaonyesha makisio ya Kodi kutoka TRA na mpaka sasa wamefikia 98% ,baada ya nusu mwaka.

Mikopo yote waliyopanga wamepata na wahisani wametoa pesa.January hii tunasubiria Ummy atoe mrejesho wa makusanyo ya nusu mwaka kutoka Halmashauri..

Vyanzo vingine kama taasisi za madini nk tutajua mwezi wa 4 kwenye bajeti..

Hongera nyingi Sana kwa Hangaya

 
Umeniwahi au wanapika data Hangaya asionekana kashindwa kukusanya Kodi.
HUNA AKILI KICHWANI. MFUMO WA TRA UKO WAZI NA UNAONESHA JINSI MAPATO YANAVYOKUSANYWA KWA KILA MKOA NA KILA AINA YA KODI ILIYOLIPWA. Mfano Withholding taxes, stamp duty, bed night, CIT, PIT nk. Ukimuuliza ndugu au Rafiki aliyeko TRA mkoa wowote atakuambia hiko kiwango maana kinaonekana wazi na kila mkoa inaonekana wamekusanya kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…