Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Pole mkuu lakini Kama ilo gari ni miaka ya 1999 lazima iwe ivyo maana Kodi ya uchakavu inclusive
Lengo ni kuleta unafuu kwa mwananchi wa kawaida.
Serikali ikiendelea kutafsiri umiliki wa gari ni anasa,hapo imemnyima mwananchi fursa ya unafuu wa maisha.
Inaonekana,wataalamu wanaogopa kusema ukweli,kuwa ukipunguza idadi na viwango vya kodi katika uingizaji magari nchini,magari yataingia kwa wingi na Serikali itapata kodi na tozo nyingi katika ununuzi wa mafuta.(Waliondoa tozo ya 'Road licence' kutozwa kwenye magari na piki piki,na sasa Serikali inapata zaidi katika ununuzi wa mafuta bila ya mwenye chombo cha moto kuona kero!!!).
Ujasiri,na ubunifu na uelewa wa watoa maamuzi wameshindwa kufahamu kuwa 'Ruhusu wananchi wamiliki magari kwa wingi,ili upate kodi kubwa wakati wananunua 'Petrol au Dizeli'
Visingizio kuwa hatuna barabara,na kutafsiri gar sio muhimu ,dhana hii imeendelea kukwamisha vichocheo vya maendeleo,na kumfanya mwananchi kujitafutia maendeleo binafsi.
Acha tu uwe mkubwa sio kila mtu amiliki gar bhna. Hata hadhi ya kumiliki gar imeanza kupungua. Nashauri ushuru uwe mara 4.
Maelezo yako yanaturudisha pale pale, ushuru wa gari bongo ni mkubwa mno kuliko gharama ya gari lenyewe.
Wanafanya hivyo ku-avoid tanzania kuwa dumping place
Twende kwa mifano dhahiri Legacy BM9 2010 na VW Jetta ya 2010...tena kwa VW jamaa wa valuation ni wavivu kiasi kwamba kwa VW zote wameweka flat rate kuanzia VW Jetta, Golf, Touran etc CIF wameweka ni $9000Sio kweli,narudi hapa na ushahidi wa kumvua mtu nguo
Sio kweli,umeongea kishabiki sana. Hakuna gari la million 15 lenye ushuru wa million 60.
Kikawaida yaan layman ushuru huwa sawa na CIF,mfano kama gari ni million 5 bas we andaa tu million 5 ya ushuru
Nnachobisha ni ushuru kuwa Mara NNE ya CIF,kama wewe ulinunua million 20 means ulilipa ushuru wa million 80 na hivyo jumla ya gharama kamili za gari kuwa milioni 100Usiongee usichokijua mkuu, mimi nimeagiza gari nje bei under 20milioni, ushuru wake sawa na new model kwa hapa bongo. Sasa sijajua unabisha nini. Raisi kama raisi angetoa amri viongozi wote kwanzia mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa n.k kuingiza gari walipie ushuru kama tunavyolipia sisi wananchi kwa hela ileile kama haitawauma, naamini ingewaumiza sana na kupelekea kuliongelea bungeni. Lakini kwakuwa wanaingiza magari yao free bila kulipia unadhani atakufikiria wewe, si ndio anafurahia kukunyonya [emoji35][emoji35] watu wa sampuli hiyo pepo wataisikia tu, na jehanam itawahusu.
Hizi wanazofanya ni dhambi ....na hapa sijui sheria ya kodi inasemaje? Au serikali gari wameona ni kitu cha anasa sana kiasi kwamba inaonekana ni kosa mtu wa kawaida kumiliki gari? Kwanini kukomoana hivi?Hii ishu nakumbuka last week nlikua namwagizia mshkaji vits ya mwaka 2003. Yaan gar inatoka kule mpaka inaingia bongo ni dola 1700. Ila huku ushuru wake ni milion 4 na upuuz mpka unajiuliza kisa nin kutufanyia hvi.
Nikuulize swali? Unavoagiza ist ya 2002-2005 kwa million 5 halafu unakuja kulipa million 5 ushuru na hapo kwenye hyo legacy B4 cif 12m na ushuru 24m kuna tofaut gani?Twende kwa mifano dhahiri Legacy BM9 2010 na VW Jetta ya 2010...tena kwa VW jamaa wa valuation ni wavivu kiasi kwamba kwa VW zote wameweka flat rate kuanzia VW Jetta, Golf, Touran etc CIF wameweka ni $9000
Aliyesema Mara nne ni nani? Wengi wanaolalamika ni ushuru kuzidi gharama za gari inaweza kufika sometimes Mara mbili au tatu hizo ni kodi za kukomoana mzee sio fairNnachobisha ni ushuru kuwa Mara NNE ya CIF,kama wewe ulinunua million 20 means ulilipa ushuru wa million 80 na hivyo jumla ya gharama kamili za gari kuwa milioni 100
Siku mkipata akili ya kuacha kutetea upuuzi wa CCM na kuifurusha madarakani, ndio utakuwa mwanzo wa kupata maendeleo ya kweli badala ya hayo ya kuoneshwa picha za madaraja na akina Msigwa wa Ikulu.Decision makers wa nchi hii ndo wanafanya maisha yawe magumu kuliko hali halisi.
Magari yakiwa mengi nchini serikali itafaidika maradufu kuliko kukaba kwenye hiyo kodi ya kuagiza tu ambayo imekwamisha watu wengi tu kumiliki magari ya ndoto zao.
Kuna sekta kibao tu zingekua ikiwa pamoja na ajira kuongezeka.
Puumbavu zako, kwanini wasifanye hivyo pia kwenye bidhaa nyingine kama umeona kuna tija kweli?Wanafanya hivyo ku-avoid tanzania kuwa dumping place
Dogo usijifanye mjuaji sana utadhani wewe ndio Makonda katika nchi hii, gari za bei na ushuru wa namna hiyo zipo nyingi tu. Kwa kukusaidia tu tafuta gharama ya Prado ya mwaka 2019, halafu urudi hapa.Sio kweli,umeongea kishabiki sana. Hakuna gari la million 15 lenye ushuru wa million 60.
Kikawaida yaan layman ushuru huwa sawa na CIF,mfano kama gari ni million 5 bas we andaa tu million 5 ya ushuru
We bwege si ndo ulikuwa unalialia humu ndani upewe kazi usalama wa taifa miaka ya 2010?[emoji23][emoji23][emoji23] kiaz kweli wwDogo usijifanye mjuaji sana utadhani wewe ndio Makonda katika nchi hii, gari za bei na ushuru wa namna hiyo zipo nyingi tu. Kwa kukusaidia tu tafuta gharama ya Prado ya mwaka 2019, halafu urudi hapa.