Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
True wako bize kupambana na wapinzani kuliko kupambana na umasikini hii ni Africa nzima ya weusi.Mara mpinzani kakimbizwa kwa risasi,Mara kabambikwa,nkSerikali za Africa hazipo kusaidia raia bali kuumiza raia
Nani kakudanganya upo ushuru MrKama mkubwa achana nayo nunua trekta halina ushuru kabisa.
😂😂😂😂😂safiiKuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
PumbavAcha tu uwe mkubwa sio kila mtu amiliki gar bhna. Hata hadhi ya kumiliki gar imeanza kupungua. Nashauri ushuru uwe mara 4.
Unajua serikali zote za Afrika na kodi zao za magari?Serikali za Africa hazipo kusaidia raia bali kuumiza raia
Kodi ya nn wakati gari zinakuja inua uchumiBei ya gari huangaliwa ikiwa mpya.... then mahesabu ya depriciation hufuata... HATA UKIPEWA BURE, KODI UTALIPA... Gari ya mwaka gani? Brand gani? Ikiwa mpya inauzwa shilingi ngapi? Bei ya sasa ni shilingi ngapi? CC ngapi?
Zambia,Malawi, Mozambique,Uganda Kodi ipo chini.Unajua serikali zote za Afrika na kodi zao za magari?
Sisi hapa nyumbani timechanganyikiwa hata uchangiaji wa mada tu jukwaani hatuijadili mada kila mmoja anakuja na lake.Zambia,Malawi, Mozambique,Uganda Kodi ipo chini.
Wenye akili ya kuamua hawapati nafasi.CV yako ni uwezo wako binafsi wa kusifu na kuabudu ndio cv ya teuzi,hapa upate cream wapi?Decision makers wa nchi hii ndo wanafanya maisha yawe magumu kuliko uhalisia.
Magari yakiwa mengi nchini serikali itafaidika maradufu kuliko kukaba kwenye hiyo kodi ya kuagiza tu ambayo imekwamisha watu wengi tu kumiliki magari ya ndoto zao.
Kuna sekta kibao tu zingekua ikiwa pamoja na ajira kuongezeka.
Ideal for hacienda or off grid life😊Kuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Hoja dhaifu kabisa Tanzania nchi changa bado tunahitaji nondo kwa ujenzi wa miundombinu so hayo magari yakichoka kabisa tunayeyusha kupata nondoWanafanya hivyo ku-avoid tanzania kuwa dumping place
Ok sawa ngoja wake wataalamu
Acha kunichekesha kiwanda cha nyumbu sio cha magari ni kiwanda cha kutengeneza matela ya pundaKipo cha Nyumbu kinatengeneza ya jeshi ila hawayauzi.
Lakini hii issue ipo miaka yote wala halijaanza jana.Wenye akili ya kuamua hawapati nafasi.CV yako ni uwezo wako binafsi wa kusifu na kuabudu ndio cv ya teuzi,hapa upate cream wapi?
Ndo nikasema hawa watawala wa kiafrika hawapo kwa ajili ya mwananchi Bali ni mabeberu meusiKama wanaona magari ni anasa mbona wao (wanasiasa wa Ccm) hawaachi kutumia hizo anasa?
Umepaniki mkuu? Ni upuuzi kuleta hoja ya kuokoteza kwamba kodi ikiwa chini magari yatakua mengi hivyo kuharibu barabara wakati asimilia ya magari yanayizungumziwa kua na kodi kubwa ni magari madogo binafsi ya watu...Nenda kwenye point wewe bwege, shule ipi unayoulizia?
Kweli uwezo wako wa kuelewa ni mdogo wapi nimezungumzia kuharibu barabara?Umepaniki mkuu? Ni upuuzi kuleta hoja ya kuokoteza kwamba kodi ikiwa chini magari yatakua mengi hivyo kuharibu barabara wakati asimilia ya magari yanayizungumziwa kua na kodi kubwa ni magari madogo binafsi ya watu...
IST ni size yako mkuuMrembo wetu wa jf kale kaist kako ulikanunuaga shilling ngap vile[emoji2]