TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

purukushani na hao wafanyakazi wa taasisi za umma kama polisi, takukuru na tra bila kuawaacha wale wa maliasili, usipoelewana nao vema vurugu hutokea. All in all hao wafanyakazi ni wa kuogopwa hata kama wanafanya corrupt, huwezi kushindana nao kibabe, wale ni kuwaripoti kwa mamlaka za juu yao kama wanafanya corrupt
Wewe unafundisha watanzania kuwa wapumbavu,yaani mtu corrupt aogopwe?
Ili iweje?

Mtu akiwa corrupt atachagua Kati ya kuacha hiyo tabia au kifo.
Hana sifa za kuogopwa.
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Matunda ya ku harass watu mtaani ili wapate chochote kitu
 
purukushani na hao wafanyakazi wa taasisi za umma kama polisi, takukuru na tra bila kuawaacha wale wa maliasili, usipoelewana nao vema vurugu hutokea. All in all hao wafanyakazi ni wa kuogopwa hata kama wanafanya corrupt, huwezi kushindana nao kibabe, wale ni kuwaripoti kwa mamlaka za juu yao kama wanafanya corrupt
Kwa tz yetu utaripot wap iv unajua unachoongea au kwa kuwa upo nyuma ya keyboard na hujawai kutana na hii changamoto kimsingi KWANZIA TRA,POLIS NK kwa tz ni changamoto wacha tuseme kifo ni kifo tu hata marekan nao wanakufa ivo ivo
 
kujichukulia sheria mkononi kuwaadhibu wafanyakazi wa umma wanaofanya corrupt huo sio utawala wa sheria
Naam, ni kosa kujichukulia sheria mkononi!. TRA Ktk kutekeleza majukumu kama hayo ya tegeta kwa ndevu miongozo yao inaelekezaje?, isijekuwa nao walijichukulia sheria mkononi.
 
Naam, ni kosa kujichukulia sheria mkononi!. TRA Ktk kutekeleza majukumu kama hayo ya tegeta kwa ndevu miongozo yao inaelekezaje?, isijekuwa nao walijichukulia sheria mkononi.
Shida ni corruption, TRA hawana mamlaka ya kwenda kukamata magari mtaani peke yao, bila ya polisi.

Ni lazima HR huko TRA itoe training kwa wafanyakazi wao kujiepusha na marudio kama haya.

Wanaruhusa ya kwenda kwenye biashara na kufanya audit, lakini hawana ruhusa ya kwenda kukamata magari mtaani ambayo ayajalipiwa ushuru.

Criminal matters ni maswala ya DPP na jeshi la polisi, sio TRA (wao ni kuwasaidia kuwapa ushahidi tu).

Inasikitisha hila shida hapa ni za pandę mbili TRA kuvuka mipaka yao na wananchi kuchukua sheria mkononi.

Hata mkuu wa mkoa hawezi kujiamkia asubuhi kwenda kukamata wavunja sheria bila ya jeshi la polisi.

TRA wajitazame, hasa upande wa HR training jinsi ya kudhibiti njaa za maafisa wao nchi ina taratibu za sheria.
 
Apumzike kwa amani.. siku nyingine msome alama za nyakati
Hii inanikumbusha wale TRA wa mbeya waliopata ajali mbaya nchini Malawi kwa kukimbiza Magendo kiasi kwamba wanasahau kuwa wanaingia nchi nyingne.na wakafariki wote... TRA Punguzeni mihemko. Kma wangekuwa wanataka haki wangeshirikisha vyombo vingne vya usalama.
 
Hii inanikumbusha wale TRA wa mbeya waliopata ajali mbaya nchini Malawi kwa kukimbiza Magendo kiasi kwamba wanasahau kuwa wanaingia nchi nyingne.na wakafariki wote... TRA Punguzeni mihemko. Kma wangekuwa wanataka haki wangeshirikisha vyombo vingne vya usalama.
Sasa jiulize hiyo ilikuwa ni kazi ya TRA au polisi wa uhamiaji.

Na unaweza vipi ingia nchi ya watu bila ya baraka za wenyewe, ni bahati tu hakukuwa na diplomatic row.

Kuna shida kwenye HR za TRA (if you are a trouble shooter), maafisa hawana training sahihi ya kazi (that’s the logical conclusion), you don’t want to talk about control issues.

Aargh they should just get the right people to run these government posts.
 
Kwenye ”mob justice” utamkamata nani utamwacha nani?nadhani Samia atakuwa anajua zaidi maana alisema duniani kote mambo haya yanatokea siyo kwenye serikali yake tu.

Apumzike kwa amani japo kwa damu yake atakuwa amefungua njia kwa mamlaka za kiserikali kufanya kazi kwa kufuata taratibu na weledi,uhuni wa watu kutekwa utapungua pia.
Tuishi kwenye kauli yake ya kifo ni kifo tu.
 
Hii ni kusudi tu

Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza

Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo

Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha

Sasa rungu liwafikie wote waliohusika

Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele

Shenz type
Hao watekaji waje tena tegeta ili muone show yake. Kule waliingia ndani ya mtaa wenye wanawake wengi wanaume walikuwa makazini na ndio maana hakukua na purukushani hii ya tegeta wamejimix barabarani kwenye watu wengi wakiwemo boda boda halafu wakataka kutumia ubabe badala ya busara kama kawaida yao kuvimba. It was a wrong move.
 
Yaaani bana ...........hii sio nzuri sana ukiangalia kijana kama huyu .......unakuta anafamilia na wategemezi kibao.......ila shida ni moja tu..........SIFA..........watumishi watumishi watumishi punguzeni kufanya kazi kwa KIBURI KIBRI DHARAU.........hapa wengi wenu huwa mnajisahu saana sasa hebu ona kama huyu jamaa angejua ile mission yeye ndio ingekuwa bye bye unafikiri angekubali kutolewa KAFARA?? Wakati mwingine tujitathimini sisi kwa sisi.......ona .....umemuacha heda sasa mtoto wa watu kwa udhembe bila kutumia shule yako..............nawajua vizuri watu ambayo mnajiona kwenye utumishi na unasahau kama mungu na yeye huja na maamuzi yake.........ulijilinda kwa kusoma vizuri ili usife kwa sababu za kijinga lakini ujinga wako ndio uliokutoa roho..............sijui ilikuwaje lakini kifo chako kinatia huruma yaani kama mwizi wakati sio............haya huko ulipo itazame familia yako ,wazazi wako ,mke wako ,watoto wako na wengine wote waliohusika na huo mshahara wako...........poleni watumishi lakini kama mtashindwa kufanya kazi kwa stara na weledi bila kureta mhemko mtaacha wagane na wajane kira siku ..........huku mkiziachia familia zenu yatima............alamsiki
 
Yaaani bana ...........hii sio nzuri sana ukiangalia kijana kama huyu .......unakuta anafamilia na wategemezi kibao.......ila shida ni moja tu..........SIFA..........watumishi watumishi watumishi punguzeni kufanya kazi kwa KIBURI KIBRI DHARAU.........hapa wengi wenu huwa mnajisahu saana sasa hebu ona kama huyu jamaa angejua ile mission yeye ndio ingekuwa bye bye unafikiri angekubali kutolewa KAFARA?? Wakati mwingine tujitasimini sisi kwa sisi...........umemuacha heda sasa mtoto wa watu kwa udhembe bila kutumia shule yako..............nawajua vizuri watu ambayo mnajiona kwenye utumishi na unasahau kama mungu na yeye huja na maamuzi yake.........ulijilinda kwa kusoma vizuri ili usife kwa sababu za kijinga lakini ujinga wako ndio uliokutoa roho..........siujui ilikuwaje lakini kifo chako kinatia huruma yaani kama mwizi wakati sio............haya huko ulipo itazame familia yako ,wazazi wako ,mke wako ,watoto wako na wengine wote waliohusika na huo mshahara wako...........poleni watumishi lakini kama mtashindwa kufanya kazi kwa stara na weledi bila kureta mhemko mtaacha wagane na wajane kira siku ..........huku mkiziacha familia zenu yatima............alamsiki

Hao raia wenye hasira Kali walikua wapi wakati wa mzee Kibao, big Tarimo, Nondo nk waliotekwa kweupe kabisa huku wakiomba msaada? Wanaua watu wanaojua fika sio watekaji huu ni upumbavu wa mitanganyika.
 
Mtekaji hana TAG. Kikubwa hujaitiwa mwizi au mtekaji mbele ya kadamnasi. Lazma uishe round hii. Kama huamini jaribu kufanya ujinga sahizi public iko kwenye alert.

Big Tarimo alisaidiwa na nani? Nondo juzi katekwa stendi ya Magufuli huku anaomba msaada nani alimsaidia? Mitanganyika ina pick and choose battle za kupambana. Inaua wanaojua hawajiwezi. Hapo waliojua fika hao ni tra na wameona wanataka kamata BMW mitanganyika ikataka sifa za bure.
 
Back
Top Bottom