ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Fisiemu hawanaga masomoPoleni sana. Lakini serikali na bunge watapata somo kubwa sana. Tulipokea kubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisiemu hawanaga masomoPoleni sana. Lakini serikali na bunge watapata somo kubwa sana. Tulipokea kubaya
Wewe unafundisha watanzania kuwa wapumbavu,yaani mtu corrupt aogopwe?purukushani na hao wafanyakazi wa taasisi za umma kama polisi, takukuru na tra bila kuawaacha wale wa maliasili, usipoelewana nao vema vurugu hutokea. All in all hao wafanyakazi ni wa kuogopwa hata kama wanafanya corrupt, huwezi kushindana nao kibabe, wale ni kuwaripoti kwa mamlaka za juu yao kama wanafanya corrupt
Matunda ya ku harass watu mtaani ili wapate chochote kituView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Kwa tz yetu utaripot wap iv unajua unachoongea au kwa kuwa upo nyuma ya keyboard na hujawai kutana na hii changamoto kimsingi KWANZIA TRA,POLIS NK kwa tz ni changamoto wacha tuseme kifo ni kifo tu hata marekan nao wanakufa ivo ivopurukushani na hao wafanyakazi wa taasisi za umma kama polisi, takukuru na tra bila kuawaacha wale wa maliasili, usipoelewana nao vema vurugu hutokea. All in all hao wafanyakazi ni wa kuogopwa hata kama wanafanya corrupt, huwezi kushindana nao kibabe, wale ni kuwaripoti kwa mamlaka za juu yao kama wanafanya corrupt
kujichukulia sheria mkononi kuwaadhibu wafanyakazi wa umma wanaofanya corrupt huo sio utawala wa sheriaWewe unafundisha watanzania kuwa wapumbavu,yaani mtu corrupt aogopwe?
Ili iweje?
Mtu akiwa corrupt atachagua Kati ya kuacha hiyo tabia au kifo.
Hana sifa za kuogopwa.
hahaha ishu ya mob justice kupata muhusika mkuu ngumu shekhe.Unasomoeka jela wote katika hilo eneo lazima watamtaja muhusika mkuu huyo ndio unakufa nae
Naam, ni kosa kujichukulia sheria mkononi!. TRA Ktk kutekeleza majukumu kama hayo ya tegeta kwa ndevu miongozo yao inaelekezaje?, isijekuwa nao walijichukulia sheria mkononi.kujichukulia sheria mkononi kuwaadhibu wafanyakazi wa umma wanaofanya corrupt huo sio utawala wa sheria
Shida ni corruption, TRA hawana mamlaka ya kwenda kukamata magari mtaani peke yao, bila ya polisi.Naam, ni kosa kujichukulia sheria mkononi!. TRA Ktk kutekeleza majukumu kama hayo ya tegeta kwa ndevu miongozo yao inaelekezaje?, isijekuwa nao walijichukulia sheria mkononi.
Hii inanikumbusha wale TRA wa mbeya waliopata ajali mbaya nchini Malawi kwa kukimbiza Magendo kiasi kwamba wanasahau kuwa wanaingia nchi nyingne.na wakafariki wote... TRA Punguzeni mihemko. Kma wangekuwa wanataka haki wangeshirikisha vyombo vingne vya usalama.Apumzike kwa amani.. siku nyingine msome alama za nyakati
Sasa jiulize hiyo ilikuwa ni kazi ya TRA au polisi wa uhamiaji.Hii inanikumbusha wale TRA wa mbeya waliopata ajali mbaya nchini Malawi kwa kukimbiza Magendo kiasi kwamba wanasahau kuwa wanaingia nchi nyingne.na wakafariki wote... TRA Punguzeni mihemko. Kma wangekuwa wanataka haki wangeshirikisha vyombo vingne vya usalama.
Ni shambulio la raia wenye hasira kali aka mob justice.Daah ! RIP
Tuishi kwenye kauli yake ya kifo ni kifo tu.Kwenye ”mob justice” utamkamata nani utamwacha nani?nadhani Samia atakuwa anajua zaidi maana alisema duniani kote mambo haya yanatokea siyo kwenye serikali yake tu.
Apumzike kwa amani japo kwa damu yake atakuwa amefungua njia kwa mamlaka za kiserikali kufanya kazi kwa kufuata taratibu na weledi,uhuni wa watu kutekwa utapungua pia.
Utamshughulikia nani kwenye mob justice? Sababu kapokea kichapo cha jumla jumla sio cha reja reja. Watu wameishi nae full charge.Two wrongs don't make it right. Waliohusika washughulikiwe. Apumzike kwa amani
Utamshughulikia nani kwenye mob justice? Sababu kapokea kichapo cha jumla jumla sio cha reja reja. Watu wameishi nae full charge.
Hao watekaji waje tena tegeta ili muone show yake. Kule waliingia ndani ya mtaa wenye wanawake wengi wanaume walikuwa makazini na ndio maana hakukua na purukushani hii ya tegeta wamejimix barabarani kwenye watu wengi wakiwemo boda boda halafu wakataka kutumia ubabe badala ya busara kama kawaida yao kuvimba. It was a wrong move.Hii ni kusudi tu
Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza
Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo
Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha
Sasa rungu liwafikie wote waliohusika
Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele
Shenz type
Mtekaji hana TAG. Kikubwa hujaitiwa mwizi au mtekaji mbele ya kadamnasi. Lazma uishe round hii. Kama huamini jaribu kufanya ujinga sahizi public iko kwenye alert.Wapumbavu wanaua watu wanaojua fika sio watekaji ila watekaji wanawaogopa. Mitanganyika hovyo sana.
Yaaani bana ...........hii sio nzuri sana ukiangalia kijana kama huyu .......unakuta anafamilia na wategemezi kibao.......ila shida ni moja tu..........SIFA..........watumishi watumishi watumishi punguzeni kufanya kazi kwa KIBURI KIBRI DHARAU.........hapa wengi wenu huwa mnajisahu saana sasa hebu ona kama huyu jamaa angejua ile mission yeye ndio ingekuwa bye bye unafikiri angekubali kutolewa KAFARA?? Wakati mwingine tujitasimini sisi kwa sisi...........umemuacha heda sasa mtoto wa watu kwa udhembe bila kutumia shule yako..............nawajua vizuri watu ambayo mnajiona kwenye utumishi na unasahau kama mungu na yeye huja na maamuzi yake.........ulijilinda kwa kusoma vizuri ili usife kwa sababu za kijinga lakini ujinga wako ndio uliokutoa roho..........siujui ilikuwaje lakini kifo chako kinatia huruma yaani kama mwizi wakati sio............haya huko ulipo itazame familia yako ,wazazi wako ,mke wako ,watoto wako na wengine wote waliohusika na huo mshahara wako...........poleni watumishi lakini kama mtashindwa kufanya kazi kwa stara na weledi bila kureta mhemko mtaacha wagane na wajane kira siku ..........huku mkiziacha familia zenu yatima............alamsiki
Mtekaji hana TAG. Kikubwa hujaitiwa mwizi au mtekaji mbele ya kadamnasi. Lazma uishe round hii. Kama huamini jaribu kufanya ujinga sahizi public iko kwenye alert.