Watanzania wengi hawapendi kufuata utaratibu na anakuambia ni usumbufu.Ni kwa sababu ya milolongo isiyo na tija
Mtu anaona anahangaishwa huku na kule,yaani mtu anatengenezewa mazingira magumu ya kupita kihalali.
Na kwanini wapokee rushwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweliWatanzania wengi hawapendi kufuata utaratibu na anakuambia ni usumbufu.
Kama mtu, mfano, anahitaji eneo la biashara; unamwambia andika barua ya maombi, anakuambia kwani bila barua hawezi kupata? Mara anaomba namba ya simu anaanza kukuchatisha. Ukikumbushia utaratibu wa barua, anakujibu nitakupoza kidogo nipatie eneo.
Hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] kizuri kula na mtani wako
Mimi nikiwa mmojawapoendelea k
endelea kuamini hivyo mkuu.
Kafie mbeleInaliwa na watu wachache huku wengi wakitaabika
Usiseme si kweli wakati ninayaona na ninakutana nayo.Si kweli
Tra hutengeneza mazingira ya rushwa na wanaweka ugumu ili mtu akate tamaa atoe rushwa.
Kama unaishi karibu na wafanya biashara wakubwa utakubaliana na mimi.
Na mtu anapokomaa kufuata utaratibu,wanamtengemezea zengwe jingine ili achoke.
Na ikiwa mtu akakomaa hadi mwisho,wanakuambia live lete sh ngapi,,,sasa wakikutana na mtu mjinga ambaye hajui chochote kuhusu hayo mambo ya kodi wanampiga ..
Iwe heri mtu huyo ashtuke na kutaka assist ya mtu ambaye angalau anaelewa chochote.
Mkuu huu ni mfano tu ambao nimeushihudia hivi karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe usiseme kwamba watu wote ni wavivu kufuata process wakati kuna wanaofuata.Usiseme si kweli wakati ninayaona na ninakutana nayo.
Hata nguo za mabosi na chenji za mbogaSasa bekitatu ataiba nini jamani[emoji16]
Mimi nasema kabisa nimeanza kukwepa kodi vizuri sana.Hii nchi ukiwa mtu wa haki, ukatimiza wajibu wako et kwa kuwa mzalendo...kumbe kuna upande wa pili wanapiga tu hizi pesa, either kwa matumizi mabovu ya serikali...n.k.
Uaminifu wa mtu huanza kwenye mambo madogo sanahaiwezekani hapokukamatwa niasilimia mia
Siweziwee tukikuweka TRA hutapokea hata mia yarushwa?
[emoji23]
Wengi wanaishi kwa dhulumaMajambazi tu hao ila wanavaa tai
Uko sahihi. Ni kweli wanapata hela sana. Lakini pia hawakai sana kazini. Kiwango cha kuachishwa kazi TRA ni kikubwa kuliko taasisi nyingine yeyote. Wanajenga mjumba ya kuishi kwa mbwembwe. Kazi zikiisha wanashindwa kabisa kiyahudumia majumba hayo.hao ni masikini tu,una uhakika mali walizochuma baada ya kustafu zitaendelea kuongezeka? au ndoile zinauzwa hovyo na kutaifishwa na mabenki ,hatimaye na wamiliki kukimbilia vijijini? .hao ni masikini bilionea. mtu mwenye uwezo wa kuzalisha milion kazaa na kuwa bilion huyo ndo bilionea tajiri.we sema tu hao wanamiliki ukwasi tu ila sio maTajiri