Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Watanzania wengi hawapendi kufuata utaratibu na anakuambia ni usumbufu.Ni kwa sababu ya milolongo isiyo na tija
Mtu anaona anahangaishwa huku na kule,yaani mtu anatengenezewa mazingira magumu ya kupita kihalali.
Na kwanini wapokee rushwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu, mfano, anahitaji eneo la biashara; unamwambia andika barua ya maombi, anakuambia kwani bila barua hawezi kupata? Mara anaomba namba ya simu anaanza kukuchatisha. Ukikumbushia utaratibu wa barua, anakujibu nitakupoza kidogo nipatie eneo.