Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huyo kiongozi mpaka hapo atakapokuja, naamini atakutana na manyoya tu.Atakapokuja kiongozi kuwapukutisha account zao naomba kelele zisiwe nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kiongozi mpaka hapo atakapokuja, naamini atakutana na manyoya tu.Atakapokuja kiongozi kuwapukutisha account zao naomba kelele zisiwe nyingi
Kwa mwezi mil90, kwa mwaka bil 1, mwongo mkubwa, hakuna kitu kama hicho na rushwa haiwezi kuwa na unit kwamba kila siku kiwango hicho hicho.Kupost hivi tu mtandaoni kudhani huwezi kujulikana ni umbumbuu zaidi....!!
Shamba la Bibi hilo, wanahitaji pongezi kwa kuzalisha vibopa wenye ukwasi.Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover
Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire
Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Huenda ni adhabu hiyo.Mtu mshahara mln 3,4 lakini Ana mamilion ya feza
Kuna jamaa mmoja yuko huko anakuambia yeye mshahara wake haugusi anaishi kwa pesa za dili tu
Ila sasa hivi karibuni kisukari kimemtandika kwerikweri
Ova
Huyo engineer alipata mke aise.Niliwahi kufanya kazi na dada mmoja dukani Mbeya(Mwanjelwa) alikua aibi aisee alikua na hofu ya Mungu sana yaani mfanyakazi alilifanya Duka kama lake hasara hapendi kusikia alikuja kuolewa na Eng mmoja huko huko kusini...nimefanya kazi na vijana wengi nina uzoefu nao ndio maana huyo kabaki kama mfano..
Nikweli... but wivu wa maendeleo mkuu... Lakini Gari sio kipaumbele changu kwa sasa..Kuna kahasira kalikochanganyikana na wivu hapa hahaha.
Kuna zile deal za kupiga individual na za group so unaweza kuwa mwaminifu usipige individual ila zikije deal za kushirikishwa wengi then ujifanye msabato lazima uundiwe zengwe ama uhamishwe upelekwe kazulamimba kigoma, ufukuzwe kazi au uuawe.Mtoa mada hata wewe ungeajiriwa TRA ungepiga vilevile
Tunawalaumu Bure TRA sometimes susi wenyewe ndo tunawapa izo rushwa kutaka watusaidieKuna zile deal za kupiga individual na za group so unaweza kuwa mwaminifu usipige individual ila zikije deal za kushirikishwa wengi then ujifanye msabato lazima uundiwe zengwe ama uhamishwe upelekwe kazulamimba kigoma, ufukuzwe kazi au uuawe.
Chenye pesa domestic revenue sio 😁Non sense hicho kitengo ndo hawana hela kabisa
Bora wao wanapiga na wanawekeza hapahapa kuliko mijizi kule juu inayopiga na kuficha mipesa uswisi.Tunawalaumu Bure TRA sometimes susi wenyewe ndo tunawapa izo rushwa kutaka watusaidie
Tra wana mikopo mikubwa sana na aina ya kaxi yao wana posho za kusafiri sana .rushwa sisemi hazipo ila sio kiivo.unataka uwe halmashauri uwe sawa na botUkweli usemwe.... nina rafiki yangu tumehu
itimu wote chuo.. mm nilisomea faculty X yeye alisomea mambo ya Pesa.. mimi niliwah kupa job.. yeye kaka kama miaka mitatu tu mtaa.. sasa yaye ni mwaka w pili kazini saivi jamaa ana usafiri af anapost mashamba ya mpunga tu... mimi mwaka wa 6 huu kazin hata usafiri sifikirii
"Nasikia, eti" wanahonga hadi 10m ili wapate kazi huko.
Huyo ndio anaongoza kwa kupiga.hivi mgulu mchemba madiluu hawaoni? me nashangaa sana
Mishahara Yao ni mikubwa hivyo wanachukua mikopo mikubwaTra wana mikopo mikubwa sana na aina ya kaxi yao wana posho za kusafiri sana .rushwa sisemi hazipo ila sio kiivo.unataka uwe halmashauri uwe sawa na bot