TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Shamba la Bibi hilo, wanahitaji pongezi kwa kuzalisha vibopa wenye ukwasi.
 
Niliwahi kufanya kazi na dada mmoja dukani Mbeya(Mwanjelwa) alikua aibi aisee alikua na hofu ya Mungu sana yaani mfanyakazi alilifanya Duka kama lake hasara hapendi kusikia alikuja kuolewa na Eng mmoja huko huko kusini...nimefanya kazi na vijana wengi nina uzoefu nao ndio maana huyo kabaki kama mfano..
Huyo engineer alipata mke aise.
 
Waziri wa fedha wa nchi Ile, ambayo rais wake aliwahi kulalamika kuwa Kuna mawaziri na viongozi wana kula Sana mpaka wanavimbiwa ni nani vile?
 
Mtoa mada hata wewe ungeajiriwa TRA ungepiga vilevile
Kuna zile deal za kupiga individual na za group so unaweza kuwa mwaminifu usipige individual ila zikije deal za kushirikishwa wengi then ujifanye msabato lazima uundiwe zengwe ama uhamishwe upelekwe kazulamimba kigoma, ufukuzwe kazi au uuawe.
 
Kuna zile deal za kupiga individual na za group so unaweza kuwa mwaminifu usipige individual ila zikije deal za kushirikishwa wengi then ujifanye msabato lazima uundiwe zengwe ama uhamishwe upelekwe kazulamimba kigoma, ufukuzwe kazi au uuawe.
Tunawalaumu Bure TRA sometimes susi wenyewe ndo tunawapa izo rushwa kutaka watusaidie
 
Ukweli usemwe.... nina rafiki yangu tumehu
itimu wote chuo.. mm nilisomea faculty X yeye alisomea mambo ya Pesa.. mimi niliwah kupa job.. yeye kaka kama miaka mitatu tu mtaa.. sasa yaye ni mwaka w pili kazini saivi jamaa ana usafiri af anapost mashamba ya mpunga tu... mimi mwaka wa 6 huu kazin hata usafiri sifikirii
Tra wana mikopo mikubwa sana na aina ya kaxi yao wana posho za kusafiri sana .rushwa sisemi hazipo ila sio kiivo.unataka uwe halmashauri uwe sawa na bot
 
Back
Top Bottom