TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Ukweli usemwe.... nina rafiki yangu tumehu
itimu wote chuo.. mm nilisomea faculty X yeye alisomea mambo ya Pesa.. mimi niliwah kupa job.. yeye kaka kama miaka mitatu tu mtaa.. sasa yaye ni mwaka w pili kazini saivi jamaa ana usafiri af anapost mashamba ya mpunga tu... mimi mwaka wa 6 huu kazin hata usafiri sifikirii
Kuna kahasira kalikochanganyikana na wivu hapa hahaha.
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Kuna dogo kashusha apartment kibao kisasa
 
inategemea na kitengo mkuu kuna watu wapo TRA ila wanateseka
Kweli inategemea na kitengo. Kwa mtu ambae hajawahi kufanya hapo TRA hawezi kuelewa hili. Kuna ma HR na watu wa Planning hapo TRA wana maisha ya kawaida sana. Maisha ya kutegemea posho na mshahara huwezi kuwa na ukwasi anaosemea mtoa mada.
Pesa zipo kwenye baadhi ya vitengo vyenye madili ya hela.
 
Wamentandika Offense ya kukosa EFD machine Ofisini, Number inasoma 3m

Nimeenda TRA afisa ananiambia nipe 500k nifute mzigo wote...

or else nikutolee control number yako ukalipie.

Mimi ni nani niache kumpa 500k yake nipite zangu hiviiii...

Kwann wasiwe ma bilionea mtu anaingiza 500k na zaidi kwa siku kwa desk Job... to Hell T R A
kuna mmoja ndo zake pale **********. yeye anapigaga tik-tak mishindoyake kufuta milioni 10 kwa ajili ya milion 3 haon tabu. wanazipiga kwa kweli
 
Maisha sio marahisi hivyo
Yangekua marahisi hivyo mbona karibia kila mtu ana-maisha mazuri

Miaka 26 huna familia, unamshahara above 2m, Saccos ya ofisi inakukopesha mara 20 sijui 25 ya mshahara wako kwa makato ya 5 years makato ni kidogo kidogo. Hapo kuna overtime, kazi za nje ya mikoa pengine kuna allowance za mafuta, makazi na bonus za hapa na pale.

Ugumu wa maisha unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom